Recent content by Frank Ritte

  1. F

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Leo nitakuwa pale Buza kwenye ile bar inayotazamana na Tanesco Buza.
  2. F

    Mvua kubwa Mbezi Luis

    Nipo kwenye mataa ya Kamata kuna foleni si mchezo aisee ikinyesha mvua Dar magari hayaendi tegemea kupoteza muda tu.
  3. F

    Mkitaka kujibizana na CHADEMA someni sana. CHADEMA ni weupe, wazushi na hawezi siasa za hoja na ukweli

    Serikali ikikopa Rais na Waziri wa fedha wana asilimia zao ndio maana wanakopa sana kujilimbikizia fedha za uchaguzi.
  4. F

    Akumbukwe John Okello, Baba wa Taifa la Zanzibar. Bila huyu leo Zanzibar wangekuwa bado Utumwani

    Sawa tuambie wewe ilikuwaje John Okello akapewa radio kutangaza mapinduzi matukufu ya Zanzibar ilihali si mhusika?.
  5. F

    Akumbukwe John Okello, Baba wa Taifa la Zanzibar. Bila huyu leo Zanzibar wangekuwa bado Utumwani

    Ovyoo... Sawa uhusika wake ni upi hata kupewa radio kutangaza mapinduzi?.
  6. F

    Hivi kwanini Hayati Magufuli aliamua tu kuwa katili bila sababu zozote?

    Kwa hiyo umegundua kumshambulia Magufuli na kumsifu Mama kuna fursa sikiliza we mpumbavu fanya ujasiriamali achana na huu usiokuwa na uhakika.
  7. F

    Akumbukwe John Okello, Baba wa Taifa la Zanzibar. Bila huyu leo Zanzibar wangekuwa bado Utumwani

    Sasa we ulitaka Mkisto awe baba wa Taifa la Zanzibar huoni Mohamed Said anavyo angaika na Mwalimu Nyerere kwa nini awe baba wa Taifa mwenye macho na akili haambiwi tazama watu wa Pwani kutetea uongo ni sahihi kwa imani yao maadamu lina maslahi kwao.
  8. F

    Akumbukwe John Okello, Baba wa Taifa la Zanzibar. Bila huyu leo Zanzibar wangekuwa bado Utumwani

    Hawezi kuja tena kutetea uongo wake ila anachokwepa hapa ni mambo mawili la kwanza (1)Ni aibu na fedheha kumtangaza mgeni John Okello kuwa ndiye mwanamapinduzi. (2)Lingine ni dini yake haiwezekani Zanzinzibar inajulikana nchi ya Kiislamu halafu umtukuze John Okello hawako tayari ndiyo maana...
  9. F

    Akumbukwe John Okello, Baba wa Taifa la Zanzibar. Bila huyu leo Zanzibar wangekuwa bado Utumwani

    Uhusika wake ni upi hata kupewa radio kutangaza kuwa serikali imepinduliwa?.
  10. F

    Shaka: Kabla ya Mapinduzi Matukufu lipo tabaka lililokandamiza, kubagua na kupuuza wengine huku likishindwa kujali "UTU" na kuwapuuza walio wengi

    Mwalimu tusaidie kuwaelimisha hawa machawa madhara ya ukabila maana ndivyo walivyoelekezwa na chama chao, ccm wanakoelekea ni kutugawa kikabila ili waendelee kututawala.
  11. F

    Shaka: Kabla ya Mapinduzi Matukufu lipo tabaka lililokandamiza, kubagua na kupuuza wengine huku likishindwa kujali "UTU" na kuwapuuza walio wengi

    Usinilazimishe kuwa Mchaga kila mtu ana haki ya kukosoa na kusifia jambo lolote ndani ya nchi yake Tanzania kama ambavyo wewe una haki ya kusifia maendeleo ya Kilimanjaro ambayo ni usanii tujadili yaliyo mbele yetu kwani huwezi kunijibu bila kunibagua kabila langu maendeleo ni ya Watanzania sio...
  12. F

    Shaka: Kabla ya Mapinduzi Matukufu lipo tabaka lililokandamiza, kubagua na kupuuza wengine huku likishindwa kujali "UTU" na kuwapuuza walio wengi

    Na baada ya uhuru lipo tabaka linalokandamiza wengine kwa kuwabagua na kupuuzwa na watawala wa ccm huku wakishindwa kujali utu wa walio wengi.
Back
Top Bottom