Nikitizama nyuma naona michirizi ya damu, mioyo iliyoumizwa, nami ni mmoja wa wahanga. Nitakuwa muongo nikisema sijaumiza wengine na mimi. Nimekuwa na wanawake kadhaa, leo niwashukuru kwa kunipenda kwa dhati, japo kuwa mlinitenda na niliowatenda....., LEO NASEMA ASANTENI SANA KWA MAPENZI YA...