Recent content by frank damas

  1. F

    Jaji Sinde Warioba kanishangaza

    Ana haki ya kuonyesha mahaba yake juu ya mtu anaemtaka, kwa hiyo ulitaka ahamie ukawa, siasa maji taka,wew ndo maiti wa tanzania uliebaki,kwa akili yako unafikili watanzania watamchagua huyo lowasa wako ambae hana chembe ya uwadilifu,tusubili tu act ikue ndo kitakuwa chama mbadala wa upinzani...
  2. F

    Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Lowasa alipaswa agombee umwenyekiti wa mtaa,sio urais nahis ungemfaa,anaemshabikia lowasa akili imekaa kilowasalowasa
  3. F

    Magufuli na ikulu

    Nahiyo chadema ina watu wapya?mbona hufikilii?
  4. F

    Magufuli na ikulu

    Shabiki tu wewe wa chama,unapelekwa kama ngalawa majini,huna uwezo wa kufikili,byeeeee
  5. F

    Magufuli hatukani wapinzani

    Magufuli oyeeeeeeeee
  6. F

    Nayatamani mabadiliko lakini sina imani na Edward Lowassa

    Sasa mbona chadema wamechukua vichwa maji vilevile mawazo yaleyale,je hapo pana mabadiliko,ukawa imekosa sifa, magufuli anao uwezo wa kuongoza usitupe kura yako ,
  7. F

    Magufuli na ikulu

    Hata mimi sina itikadi ya chama,ila naangalia mtu anaeweza kutuvusha,sasa unataka mabadiliko yapi ndugu,vichwa vilevile,kutoka ccm mawazo yaleyale,ukosefu wa uwadilifu uleule ndugu,usiwe mfia chama, ama shabiki tu, angalia uwezo wa mtu,angekua slaa kweli ningesema mabadiliko kwani jamaa ni...
  8. F

    Magufuli hatukani wapinzani

    Ukimuliza kijana wa kitanzania utasikia tunataka mabadiliko,yako wapi mabadiliko wakati vichwa maji ni vilevile,sasa mabadiliko hayo yakowapi,huyo lowasa ana history ipi nzuli kukuletea mabadiliko?usipoteze muda wako kumchagua huyo mtu asiejua hata kujieleza anazidiwa na mdogo wangu anaesoma...
  9. F

    Magufuli hatukani wapinzani

    Kiukweli ukiacha ushabiki lowasa hana hoja za msingi,hana vision hana mission,kwa taifa letu,chadem wanafiki walituaminisha kuwa wana uwadilifu kumbe malofa tu, sasa chukua lowasa sumae,je kuna fikra mpya mawazo mapya?jamani usipoteze kura yako kuwapa hao walevi wa madaraka walokosa misingi bora...
  10. F

    Magufuli na ikulu

    Demokrasia ya nini,yakutomkubali lowasa ndo unasema demokrasia,funguka ndugu yangu wengi wanaoama ni wale waliokosa nafasi ya kutawala,kwa akili yako wew unaona ndani ya chdm ndo kuna hiyo demokrasia,upuuzi mkubwa,nimewachukia chadm
  11. F

    Magufuli na ikulu

    Kimsingi simkubali lowasa hata kidogo hata wale wanaomfuata wengi wao ni kutoka ukanda wao,lowasa hana vision pia hana mission kwa taifa letu kinachombeba ni umaarufu wa pesa,na vijana wengi kukosa imani na ccm,kiukweli jamaa hana uwezo wowote kiongozi,laiti slaa angekuwepo angelamba kura yangu...
  12. F

    Magufuli na ikulu

    Sasa tumpe nani,ukawa hawana mawazo mbadala maana waliomo ni walewale walokua ccm hakuna jipya hapo,bora tuendelee kutawaliwa na ccm
  13. F

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Umenena watu wengi humu hawaangalii ukweli wa mambo huyo lowasa ni misifa tu ,hana uwezo wa kuongoza taifa hili,wengi ni mashabiki tu
  14. F

    Heri Zitto Kabwe kuliko Dr.slaa

    Wewe na fisadi lowasa akili moja
Back
Top Bottom