Kama huko ccm hakuna demokrasia unadhani baada ya kuwekwa madarakani watajali maslahi ya wananchi? tutaonekana sisimizi.Kimsingi simkubali lowasa hata kidogo hata wale wanaomfuata wengi wao ni kutoka ukanda wao,lowasa hana vision pia hana mission kwa taifa letu kinachombeba ni umaarufu wa pesa,na vijana wengi kukosa imani na ccm,kiukweli jamaa hana uwezo wowote kiongozi,laiti slaa angekuwepo angelamba kura yangu kwa kosa walilofanya chdm kumweka fisadi lowas inadhihirisha kuwa wao lengo ni kuchukua dola lakin hawana misingi yoyote ya kimaadili,sasa uwadilifu wao waliokua wanasema upo wapi tuendelee kuiamini chadm?rudi nyuma kijana mwenzangu chagua magufuli uwezo anao akiboronga tumdilete miaka 5,