Recent content by Frank Castello

  1. F

    Papa ateua askofu mpya wa Singida

    Mkuu kwa uelewa wangu watu wa kaskazni ndio wana wito mkubwa kutaka kuwa mapadri au maaskofu kwa kiwango kikubwa kuliko sehemu yoyote hapa Tanzania,ndio maana unakuta mapadri wengi wanatoka sehemu hzo kwa hyo sio kama papa anaangalia kama anatoka kusin au kaskazn,yeye anachagua kutokana na sifa...
  2. F

    Mzungu ana akili zaidi kuliko viumbe wote duniani, Wasouth wamethibitisha hili

    Waafrika tunashida tunajengewa mitalo ya maji taka sisi tunafanya madampo ya kutupia uchafu,unategemea tutaendelea vp?wakati akiri zimestak
  3. F

    List ya Maraisi 8 wanaoongoza kwa utajiri Africa

    Mkuu vitu vingine sio kwanza kubishana nimekwambia Equatorial Guinea ni kama Switzeland ni kiimanisha kwa Africa ndio wananchi wake wenye kipato kikubwa kuliko nchi nyngine ni kama vile Switzeland au Luxemburg ulaya hz nchi ndizo zenye wananchi wenye kipato kikubwa ulaya nzima,sasa kama unataka...
  4. F

    List ya Maraisi 8 wanaoongoza kwa utajiri Africa

    Mkuu Equatorial Guinea wananchi wake ndio wenye kipato kikubwa Africa ni kama vile Switzeland au Luxemburg kwa Ulaya.
  5. F

    Boko Haram renames group - Islamic State in West Africa

    Bora waanze kuchinjana wao kwa wao,wameshazoea kumwaga damu ndio sadaka yao kwa shetan wanaye muabudu
  6. F

    Alshabaab waliokamatwa Kilwa vs kikundi cha taarabu kwa jina la Al-Shabaab Kilwa

    Mkuu huyo ni mental tochadi hata waliosoma elimu yao haiwasaidii kaz kutetea magaidi kisa wa iman moja,kuna mwingine yumo humu ndani anajigamba ana degree lakn anatetea magaidi na user name yake ni jina la gaidi mkubwa baada ya Osama sasa mtu kama huyo si ameshakuwa tochadi siku nyingi bado...
  7. F

    VPL: Tar. 22\04\2015: Simba vs Mgambo JKT

    Maguli hasipoanza tunashnda,akianza tu tumeumia
  8. F

    Japan yavunja rekodi treni mwendo kasi

    Mkuu hata kwenye tech ya jeshi wako vizur ni moja ya nchi yenye jeshi la kisasa duniani
  9. F

    Isack Maro wa kipindi cha Njia panda (Clouds FM) apata shavu Radio Japan (NHK World)

    Kuna watu wajinga sana kudhalau fani za watu wengine,duniani kila fani ina umuhmu wake awe sociologist,musician,teacher ndio maana kukawa na field tofauti,hatuwezi wote kuwa mainjinia au wanasheria kuna madaktari wataitajika kuwatibu na hao madaktari kuna walimu wa kuwafundisha,mi naona waafrika...
  10. F

    BAKWATA tusaidieni kwa hili? Kamata kamata imezidi

    Mkuu huyo dogo amelelewa na mama yake mzazi na Baba yake wa kambo ambao ni waislam,alikutana na Baba yake mzazi karbuni na kumshawishi abadili dini kuwa mkristo lakn dogo aligoma na akaamua kumpotezea mdingi,mwisho wake ndio ameingia kwenye ugaidi,ishu sio jina la kikristo ishu hapa hakuwai kuwa...
  11. F

    Kundi lingine la watoto limekutwa kwenye misikiti ya mji wa Dodoma

    Mkuu kumbe uislam ni ideology kama fascism
  12. F

    Kundi lingine la watoto limekutwa kwenye misikiti ya mji wa Dodoma

    Mkuu kumbe utamaduni wa kikafiri ni mzuri
  13. F

    Kundi lingine la watoto limekutwa kwenye misikiti ya mji wa Dodoma

    Mkuu huo mchezo si wa makafiri,waanzilish wake ni makafiri wa Kijapan inakuaje waislam wacheze mchezo wa makafiri kwenye misikiti yao,hapo hauoni wanakwenda kinyume na mafundisho ya allah!
Back
Top Bottom