Recent content by frank cain

  1. F

    JamiiForums IGP Mwema, 'mob justice' na kuuawa kwa polisi

    ndo maana ile kitu ya dhahabu ilipotea?
  2. F

    JamiiForums Ni Mwakyembe au Magufuli kupewa wizara ya Maliasili na utalii

    taasisi imara hujengwa na kusimamiwa na viongozi imara wasio wabinafsi. kiongozi ovyo hawezi simamia ujenzi na usimamizi wa taasisi makini. na taasisi makin zitakuwa makini zikiongozwa na watu wa ovyo? huwezi kwepa umuhimu wa watu wenye uwezo na wasio wabinafsi etc katka mafanikio ya taasis
  3. F

    JamiiForums Wizara ya Maliasili yatajwa kuwa mtego kwa Kikwete, Pinda, Mwamunyange, Mwema

    watafutwe kina magufuli na mwakyembe wa wizara hiyo. tutafika tu
  4. F

    JamiiForums Wasomi wetu je kuwa na mawaziri kutoka nje ya nchi itakuwa ni kosa au hapana?

    humu humu wamo tu wengi. wamejaa tele watz wabunifu, wasiowaoga, jasiri, wasiowabinafsi etc.
  5. F

    JamiiForums Taarifa za Siri za Wanasiasa Kudukuliwa baada ya Kuporwa Laptop/Simu zao.

    na adukuliwe yeyote chini ya jua hili ilimradi ni kwa maslahi mapana ya nchi yetu.
  6. F

    JamiiForums Udukuzi Wa Marekani

    na wanadukuaga mambo mengi - makubwa kwa madogo. na inawasaidia kutupeleka watakavyo.
  7. F

    JamiiForums Reginald Mengi na Tanzania Energy Ltd vs Swala Energy Tanzania ltd

    wazawa kushirikishwa si dhambi
  8. F

    JamiiForums Kweli tunapiga vita ugaidi au ni vita dhidi ya uislam?

    mkuu, ibambasi. afrika tumeachiwa msala. waliotuletea uislamu wanawatumia waliotuletea ukristo kufanya mambo yao karibu yote huko kwao. waleta ukristo ndo wanaendesha karibu kila kitu uarabuni. ukafiri si hoja hapo na wala ugaidi wa waislam hauonekani. wanakuwa kitu kimoja
  9. F

    JamiiForums Lowassa,anne kilango malecela,lembeli,filikunjombe wateuliwe kuwa mawaziri

    filikunjombe apewe nafasi tumwone. lembeli pia. mi nashangaa sana. mtu tumjuaye kwamba hafai wa nini? jaman nchi hii ina watu wengi sana. mbona tunazunguka humohumo tu?
  10. F

    JamiiForums Ni zamu sasa kwa kanda ya nyanda za juu, magharibi au kati kutoa rais wa tz 2015...

    ila dr. mwakyembe anaweza na jasiri jamani. ni aina ya rais tumtakaye. na sio mwizi. kama tunaitakia mema nchi hii awe rais au mfano wake awe rais. ni mtu aliye tayari kufia nchi yake. hana tamaa. hanunuliki. nani mfanowe?
  11. F

    JamiiForums Cheche za Magufuli zaokoa Bilioni 16

    JK atuongezee mawaziri kama huyu
  12. F

    JamiiForums Baada ya Kinana Ukatibu mkuu tumtegemee nani kuiokoa CCM?

    mzigo? Unamaanisha bwimbwi?
  13. F

    JamiiForums Wachina ni wezi

    Wachina, wazungu, waarabu wote sawa tu. Ukikaa sawa au ukijipendekeza lazima wakulize.
  14. F

    JamiiForums Ndiyo, Lowassa ni fisadi na hilo halina ubishi lakini ndani ya CCM yupi ni afadhali Urais 2015!

    Hatutaki fisadi yeyote. Eti bora mwizi fulani kuliko mwizi fulan.
  15. F

    JamiiForums Tukiondoa mipaka yote ilyowekwa na wakoloni Afrika hakuna vita tena

    Bado zitapigwa tu. Wenye pua ndefu wataona wenye pua fupi hawafai. Shombeshombe watajiona bora zaid ya weusi tii. Etc etc. WagenI wakitaka maliasili watatuchonganisha
Back
Top Bottom