Recent content by francismihiga32

  1. francismihiga32

    Mtuhumiwa wa ulipuaji mabomu Arusha auawa na Polisi akijaribu kutoroka

    Huyo mbowe wenu hana dvd wa nini hizo kampeni za kisiasa nyinyi watumwa wa akili kama kweli ipo kwanini asiionyeshe mpenda sifa yule muongo hana dvd hana nini hiyo ni siasa ya kutala umaarufu tu wake up
  2. francismihiga32

    Kwa Hili kwa Mara ya Kwanza nakubaliana na Mzee wa Upako

    Hao ndio manabii wa uwongo walikwisha tabiriwa
  3. francismihiga32

    Mpaka sasa SIMBA na YANGA

    Ngoma droo ""''
  4. francismihiga32

    Fatma Karume: Zanzibaris deserve say in referendum

    She is stupid she no nothing about politics
  5. francismihiga32

    Maalim Seif kunguruma Kibandamaiti Jumapili 12/10/2014

    Huyo baa hamadi hiyo jumaapili akatote kipovu cha mdomo hiyo ni siasa tumeshamzoea mangapi ameshayasema kwenye mikutano mabadiliko gani yametokea huyo ni mwana siasa lazima na yeye aseme aonekanike kasema siasa za kiafrika haaaaa
  6. francismihiga32

    Mahakama kuu yabariki mwenendo wa bunge maalumu la katiba

    Kubenea ni mfanya biadharashara kula hela za wajinga baba endelea tu.
  7. francismihiga32

    Kama Rais Kikwete unaitakia mema Tanzania sitisha makabidhiano ya Katiba Pendekezwa

    Wanafiki nyie hamna lolote jaribuni fujo muone dunia nzima hakuna katiba inayokosa upizani hasa kwa wanasiasa uchwara hawatizami uzalendo kwanza mwananchi wa kawaida hasa vijijini hiyo katiba ya zamani hawajawaihi kuiona wala hawana habari na hicho kitabu kinachoitwa katiba nyinyi wanasiasa...
  8. francismihiga32

    Kuhiji makkah

    Nasikia kuna jiwe jeusi na baathi ya mabaki vitu vya zamani kabla ya uslamu kuwepo kwani hiyo alkaba ilikuwa inatumika na wapagani walikuwa walikuwa nipahala pa kutunzia miungu yao wapagani hao kabla ya uislam
  9. francismihiga32

    Mjumbe wa Bunge la katiba Salma Saidi akitoa malalamiko yao ziti ya vitisho vinavyo wakabili

    Ww kakke nyinyi siku sote ni wanafki wabaguzi hapo mambo ya dini yenu hapo inaingiaje hapo ? Ndio maana siku zote nyinyi mnaubaguzi wa mna udini na unafki ndio maana kisiwa kisiwa chenu hakuna maendeleo sababu ya unafi ki ubaguzi ndio wenu hasa .
  10. francismihiga32

    CHADEMA Arusha wasisitiza kuandamana kesho

    Ama kweli nyinyi mambumbu watumwa wa akili huyo mboe mwenyewe huyo Afrka kusini nyinyi huku vifuu tundundu mnataka kuvunjwa miguu kuweni na akili msiwe wapumbavu nyinyi wahuni na mnataka kutumia maandamano hayo na kufanya vurugu kupora vitu vya watu tu wezi wakubwa kama kweli yy mboe jemadari...
  11. francismihiga32

    Mwenyekiti Freeman Mbowe atazungumza na makamanda Makao Makuu ya Chama hivi punde

    Mbowe ni mtoto wa mama tu anakutawaleni kiakili mental slave huyo Africa kusini nyinyi mazuzu mnaumbuka msiwe watumwa wa akili
  12. francismihiga32

    Mbowe: Nimeitwa kwa DCI Manumba

    Wacheni uzuzu na kuchangiwa akili wanasiasa siku zote ni wauaji na nynyi mazuzu mnafata mkumbo mwenzu mboe anakula kuku na mkewe nyinyi keshakutieni vitanzi vya shingo mazuzu nendeni barabarni mkavunjwe migugu yy huyo marekani kwa familia yake wacheni kuwa watumwa wa akili kijambo unapoambiwa...
  13. francismihiga32

    Sheikh Kundecha, afunga mjadala wa mahakama ya Kadhi, Aeleza kwa ufasaha mkubwa umuhimu wake

    Huo ni uwongo kubainasha haki ipi labda yachuki baina yenu na watu wengine suni v/s shia kuchinja watu wasiokuwa na hatia nakumshirikisha Mungu na kuuwa wasiokua na hati halafu ww unajinasibu imeleta haki
Back
Top Bottom