Recent content by Francisbenedicty

  1. Francisbenedicty

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Pili ili uishi kwa firaha usiwe na wasi wasi na wake zako wawili utakao kua nao
  2. Francisbenedicty

    Fungia Fungia Magazeti: Ni Udikteta wa Serikali Magufuli, yalaaniwa na yasulubiwa - Jicho Letu Ndani ya Habari

    Lissu alisema hakuna aliye salama nchi hii mkamuna sio mzalendo, juzi lili fungiwa mwana halisi leo raia mwema msishangae mkabakiwa na TBC tu
  3. Francisbenedicty

    Sijawahi kusikia polisi wakitangaza chanzo cha ajari kwamba ni "ubovu Wa barabara"

    Ila mkosa yakawa chanzo cha ajira na mapato na wameongeza na vifaa na mda wakazi ili wakusanye mapato mengi
  4. Francisbenedicty

    Hivi Waziri Mkuu Majaliwa unayajua haya matatizo yaliyoko huku kwako?

    Hakuna namna nyingine zaidi ya wao kuhangaika kutafuta soko pengine mf nch jirani tofauti na walipo tegemea kuuza!??
  5. Francisbenedicty

    Msaada

    Naomba msaada ni namna gani nitapata kitambulisho cha taifa
  6. Francisbenedicty

    Tanzania yajiondoa kwenye Mkakati wa Uwazi, Ushiriki na Uwajibikaji(OGP)

    Kwan tuna ramani ya tunako kwenda? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Francisbenedicty

    Kwanini upinzani wetu umeshindwa kututetea badala yake wanatetea wakwepa kodi na mafisadi ya ACACIA?

    Hoja ni kwanini wapinzani wana tetea mafisadi ni kwamba kabla aija watetea alikuwa pamoja na serikali na aliitaji kwamba wafanye mambo kisheria ila akaonekana hana maana,, na akasema kwa kufanya hivyo serikali itagharimika tuka danganywa tutalipwa kumbe ni tutawalipa kama alivo sema mka mpuuza...
  8. Francisbenedicty

    Tundu Lissu apingwa vikali, aambiwa asigeuze TLS kuwa chama cha siasa

    Lissu anapingwa adi na wanachama wake anaitaji kuwa makini pia Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Francisbenedicty

    Tundu Lissu apingwa vikali, aambiwa asigeuze TLS kuwa chama cha siasa

    Uyo anaye mpinga mwenyekiti wake, lissu he suppose to be care Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Francisbenedicty

    Hata kama una haki....

    Ngosha anaonyesha zairi na ubaguzi wa ki chama na yy anaropoka tyu kwny ziara yake katiba kai kalia anaendesha gari hili kwa kutumia akili yake siyo sheria za barabarani tulijua tupo ndan ya basi kumbe tupo kweny lori Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom