Recent content by Francis Mawere

  1. Francis Mawere

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wa ualimu kuongezewa mwaka mmoja wa 'Intern' kabla ya kupata leseni ya kufundisha rasmi, kama ilivyo kwa madaktari

    :D Sasa shule ishakua ngumu. Mradi tupunguze wasomi mtaani turudi enzi za kiza kinene.
  2. Francis Mawere

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume umri kuanzia miaka 34 hadi 45 ili tumalizie pamoja maisha yetu yaliyobaki hapa duniani

    :D:D:D wanaume wafupi ambao hatuna shahada ila tuna pesa na vitoto vingi mtaani tuna comment wapi??
  3. Francis Mawere

    JamiiForums Tanzania Amnyonga mkewe kisha kukimbia na 300k

    uhai wa mtu just for 300k??? Matatizo ya akili na fikra ni makubwa sana Nchi hii.!
  4. Francis Mawere

    JamiiForums Tanzania Breaking news: Lipumba atimkia CHADEMA

    Siku ya Wajinga Duniani. Political bunting
  5. Francis Mawere

    JamiiForums Tanzania JE ? MSHANA jr ALIACHA ULOZI KWA HIALI??

    Mkuu
  6. Francis Mawere

    JamiiForums Tanzania Uvaaji wa uniform kwa wanafunzi umepitwa na wakati serikali ijitathmini upya

    Mkuu haya mambo huwafanywa katika nchi zenye uhuru wa kifedha na kiuchumi ila katika jamii zetu especially kwetu Africa, uniform ni moja kati ya mambo ambayo huleta usawa kwa wote i.e wale masikini kabisa na wale ambao walao wanajiweza . Zaidi ya yote, uniform ni Utambulisho.
  7. Francis Mawere

    JamiiForums Tanzania Anayejua viwanja vya Bata Kibaha ambapo Kuna watoto wakali

    :Concerned: akili uliyotumia kuandika hapa nayo ni akili ya bata.
  8. Francis Mawere

    JamiiForums Tanzania Wakuu TikTok imefungiwa Tanzania, yaani Total Ban hata kwa VPN?!

    Nikimwonaga mwanaume anatumia TikTok huwaga nawazaga sana mkuu.
  9. Francis Mawere

    JamiiForums Tanzania Uswahili na waswahili. Mbinu za kivuta. Njoo jionee maufundi

    Una Dhani pesa na Sura yako ya mbuzi vitoto vya afumbili vitakuelewa?
  10. Francis Mawere

    JamiiForums Tanzania Uswahili na waswahili. Mbinu za kivuta. Njoo jionee maufundi

    😁 hii ni ya zamani mno mkali. Enzi za wazazi wako
  11. Francis Mawere

    JamiiForums Tanzania Uswahili na waswahili. Mbinu za kivuta. Njoo jionee maufundi

    Ooooy! Niaje wakuu, Kwanza kabisa Nina furaha kubwa Sana kwa siku ya Leo kuonekana tena Jukwaani hapa Mara baada ya kipindi kirefu mno tangu Enzi zile za Kina Gentamycine, Nyani Ngabu na Genge lake na Wengine wengi. Embu Leo waswahili tushirikiane katika kuandika zile Sounds/mistari/ maneno...
  12. Francis Mawere

    JamiiForums Tanzania Dhuruma ni mbaya sana, Mpangaji aliyetaka kudhulumu nyumba yamemtokea puani

    Matumizi ya R kwenye L na L kwenye R. Tuzingatie matumizi sahihi ya herufi katika uandishi. Mnakera
  13. Francis Mawere

    JamiiForums Tanzania Mwanza ni zaidi ya Lindi na Mtwara

    "Starehe mnazipenda ila mwisho wake mbaya, wengi mnateketea kwa kuendekeza Umalaya". - Joseph Haule(Prof Jay)
  14. Francis Mawere

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lucky Dube hatambuliki kama muasisi ama legend wa muziki wa reggae duniani?

    Kwamba kazi alofanya Philip ni Kubwa kuliko Robert?? Muziki umeufahamu lini?? Ulejendari wa Robert ni wakuto-fananishwa na kitu chochote katika Muziki.
  15. Francis Mawere

    JamiiForums Tanzania Kuna wadada wema tu ila wanauza Baa, shida hizi

    Hii Trap mzee. Utapigwa tukuio hutokaa urudie tena. Wewe msaidie aende zake na uendelee kumfikiria huyo ulokua unamfikiria. Wanamake haswa hawa wakupatikana kwenye nyumba za Vileo na starehe sio wakuwaamini kamwe.
Back
Top Bottom