Recent content by francis jn

  1. francis jn

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Jimbo la Kinondoni Lazizima

    Makamanda wajitokeza kwa wingi kurudisha fomu za kugombea nafasi za uongozi katika Jimbo la Kinondoni hapo jana. Nawasilisha
  2. francis jn

    JamiiForums Tanzania Mizengo Pinda aiponza Chadema

    Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, hali ya kisiasa hapa nchini imekuwa ni ya vuta nikuvute ndani ya vyama vya siasa ikiwemo CCM na CHADEMA. Kabla ya Mwaka 2013 kuisha, tumeshuhudia viongozi waandamizi wa CCM wakijaribu kujisafisha kwa kuwatoa kafara wale wanaowaita mawaziri mizigo ili...
  3. francis jn

    JamiiForums Tanzania Kuna Akili za watu bungeni tunahitaji kuzipumzisha

    Ikulu na Bungeni, kote ni mahala patakatifu ila wazandiki wamefanya kuwa pango la walanguzi. Siasa sio mchezo wa kuigiza bali ni maisha ya mtu ya kila siku. Kwakuwa ndio mfumo ambao unaongoza maisha ya raia wa nchi husika. Ikiwa Bunge ndio lina nafasi ya kutunga na kufanya marekebisho ya sheria...
  4. francis jn

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa akataa mjadala na Nape ITV badala na Kinana

    Kitendo cha Dr. Slaa kufika katika vituo vya ITV alikuwa tayari kwa ajili ya mahojiano, akitegemea anakutana na Katibu Mkuu mwenzake na ndio maana alifika wala hakutoa udhuru kama Kinana alivyofanya maana Dr. Slaa naye ana majukumu makubwa ya kichama na kitaifa si kama unavyofikiria, kutokana...
  5. francis jn

    JamiiForums Tanzania Nyerere afunguka kuhusiana na udini wa rais

    ''Tunataka rais wetu, akiwa Mkristu, ajue hatumchagui kwa sababu ya Ukristu wake. Akiwa ni Mwislamu, ajue hatumchagui kwa sababu ya Uislamu wake. Hatumchagui awe rais wa Wakristu wala awe wa Uislamu, na tunataka hilo alijue na likubali kwa dhati na alisimamie na ndiye kiongozi wetu. Alisimamie...
  6. francis jn

    JamiiForums Tanzania Kukata mzizi wa fitna,Uitishwe mdahalo kati ya vijana waliohamia CHADEMA na wale waliohamia CCM .

    Ben Saanane hilo ni wazo zuri sana ila pia tukaenda zaidi ya hapo tukapata vijana wengine ambao pia wamejiunga na vyama vingine vya siasa ambavyo vina uwakilishi bungeni nao pia wakashiriki katika mdahalo huo. Mfano Cuf, NCCR mageuzi, UDP, na TLP. Hoja naona hapo ni vijana waliotoka CHADEMA...
  7. francis jn

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Kwa Watu Wote Kutokana na Yaliyotokea Zanzibar

    Wanajamvi, Wakati nikiombea amani ZANZIBAR hapo jana usiku saa 5:20, Roho wa Mungu alinipa ujumbe huu. Niyaseme kwa watu wote, nami natimiza kile nilichoagizwa; ''Kwa upendo la udugu, mpendane ninyi kwa ninyi; kwa heshima mkiwatanguliza wenzenu, kwa bidii, si walegevu; mkiwa na juhudi katika...
  8. francis jn

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yatikisa Mwananyamala Hospitali

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo 'CHADEMA' leo katika siku ya wapendanao ''Valentine's Day'' wameiadhimisha kwa kutembelea wagonjwa katika hospitali ya Mwananyamala ambayo iko katik Halmashauri ya Manisipaa ya Kinondoni. Matembezi hayo yaliongozwa na madiwani na viongozi wa jimbo na kata na...
  9. francis jn

    JamiiForums Tanzania Picha: Wabunge wa Upinzani wapokelewa kwa kishindo Dar

    Wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo 'CHADEMA' wapokelewa kwa shangwe na wananchi wa Dar es Salaam leo siku ya Jumapili kutokea Ubungo Riverside kwa pikipiki na magari mpaka kuelekea katika viwanja vya Temeke mwisho ambapo ulifanyika mkutano mkubwa wa hadhara. Maandamano ya mguu...
  10. francis jn

    JamiiForums Tanzania Waraka wa kwanza wa Francis Nyerere kwa serikali

    ''Mwenye masikio ya kusikia na asikie'' Wana JF unaweza kuusikiliza waraka huu kupitia link ambayo iko hapo chin <span style="color: rgb(51, 51, 51); font-size: medium; background-color: rgb(250, 250, 250);"> ''Any people anywhere, being inclined and having the power, have the right to...
  11. francis jn

    JamiiForums Tanzania Waraka wa kwanza wa Francis Nyerere kwa serikali

    ''Mwenye masikio ya kusikia na asikie'' Wana JF unaweza kuusikiliza waraka huu kupitia link ambayo iko hapo chini. ' ENDELEA NA SEHEMU YA PILI HAPO CHINI ''Any people anywhere, being inclined and having the power, have the right to rise up, and shake off the existing government, and...
Back
Top Bottom