CHADEMA Jimbo la Kinondoni Lazizima

CHADEMA Jimbo la Kinondoni Lazizima

francis jn

Member
Joined
Oct 9, 2012
Posts
11
Reaction score
12
Makamanda wajitokeza kwa wingi kurudisha fomu za kugombea nafasi za uongozi katika Jimbo la Kinondoni hapo jana. Nawasilisha


attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php

 

Attachments

  • DSCF4512.JPG
    DSCF4512.JPG
    464.5 KB · Views: 2,478
  • DSCF4511.JPG
    DSCF4511.JPG
    464 KB · Views: 2,417
  • DSCF4509.JPG
    DSCF4509.JPG
    585.9 KB · Views: 2,352
  • DSCF4508.JPG
    DSCF4508.JPG
    536.4 KB · Views: 2,287
  • DSCF4507.JPG
    DSCF4507.JPG
    695.2 KB · Views: 2,169
its high time kwa watu wanaojiita KINONDONI KWA WAJANJA...!! kutupa mbunge makini na mjanja...for the first time since independence. ..!!! sio ujanja tu wa kufanya mapenzi kwenye makaburi..! igeni ubungo..!!
 
Hii kweli ndiyo chadema inaumwa kweli haiponi kwa dawa za kawaida.
 
its high time kwa watu wanaojiita KINONDONI KWA WAJANJA...!! kutupa mbunge makini na mjanja...for the first time since independence. ..!!! sio ujanja tu wa kufanya mapenzi kwenye makaburi..! igeni ubungo..!!

kati ya jimbo la ubungo na kinondoni lipi lenye maendeleo?
 
Naomba chadema wamsamehe Zitto ili ashuhudie makamanda halisi wanavalishwa mataji ya ushindi hapo mwakani na yy akiwa miongoni mwao
 
I like this! Hongera CHADEMA Kinondoni kuwapokea wagombea wengi. Namna hiyo mtampata si tu anayekubalika kwa watu wengi bali pia mwenye uelewa mpana wa siasa zetu na jinsi ya kuingoza CDM kuelekea ikilu 2015.
 
Back
Top Bottom