jumuiya ya vijana inayojulikana kama The Rotaract of Bukoba imesaidia zaidi ya familia 12 zilizopo Bukoba kufuatia tetemeko la ardhi ambalo lilitokea Bukoba na kuwaacha wakazi kwenye umasikini mkubwa.
misaada hiyo ililenga kwa wale wasiojiweza hasa wazee,kwa hali ambayo wameikuta wazee hao bado...
Ujenzi wa stend ukikamilika itakuwa vizuri sana kwa kukuza utalii maana sasa watalii wengi wanaokuja kwa bus wakifika stend ya Bukoba wanashangaa ilivyo na mvua ikinyesha hali inakuwa mbaya.
Mkoa WA Kagera umejaliwa kuwa na vivutio vingi sana vya utalii tembelea website ya www.kageratourism.com...
Asante,huo ndio mkakati wetu na hivi karibuni utakuwa tayari,kuna mawasiliano Yetu hapo tumeweka,tunaomba usisite kutoa maoni na ushauri.
Pia tuna Hamasa Talkshow uwa tunajadili fursa na changamoto.
asante mkuu,lengo letu kuhamasisha jamii na kuwaelimisha kwenye mambo ya maendeleo,tuna kipindi cha Hamasa Talkshow pia,tunajadili fursa na changamoto kwa mkoa wa Kagera na Tanzania kwa ujumla.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.