HAMASA Gazeti La pekee la kila mwezi mkoani Kagera

HAMASA Gazeti La pekee la kila mwezi mkoani Kagera

Nilitaka kuongea na CHARMILTON kwamba gazeti linamilikiwa na nani si lengo la gazeti. Gazeti lina kazi ya kutuelimisha na hayo ndo mambo ya msingi kwa wasomaji, ukitaka kujua wamiliki nenda brela.
 
Mmetisha sana na Mungu awape kila lililo jema katika kazi yenu hii nzuri, it is a new bright future
 
Tunaomba mtuwekee online ili tupate access ya habari
 
Kwa juhudi hizi naona mbeleni kutakuwa na magazeti kikanda. Ni jambo jema maana kila siku waandishi wako kwenye vyumba vya press conference na habari kuu zote zinaongelea Dar es Salaam. Ndugu zangu andika mambo yanayolenga kuhamasisha maendeleo badala ya siasa za bongo.
 
asante mkuu,lengo letu kuhamasisha jamii na kuwaelimisha kwenye mambo ya maendeleo,tuna kipindi cha Hamasa Talkshow pia,tunajadili fursa na changamoto kwa mkoa wa Kagera na Tanzania kwa ujumla.

Tunaomba mtuwekee online ili tupate access ya habari

Asante,huo ndio mkakati wetu na hivi karibuni utakuwa tayari,kuna mawasiliano Yetu hapo tumeweka,tunaomba usisite kutoa maoni na ushauri.
Pia tuna Hamasa Talkshow uwa tunajadili fursa na changamoto.
 
Back
Top Bottom