Ni vitu gani ambavyo vipo PHOTOSHOP au illustrator lakini CANVA havipo
at the end, niliongeza umuhimu wa graphic designer kuingia katika CANVA na kuexplore opportunities za kuongeza vipato zaidi
Ni wazi kuwa miaka inavyozidi kwenda kuna baadhi ya kazi zitaendelea kufa
leo nitaweka wazi kwanini graphic designers wanaenda kukosa ujira waliozoea na kama hawatabadilika basi utakuwa mwisho wao
Ni ujio wa APP ya CANVA
App ambayo inamruhusu mtu yoyote kudesign chochote bure kabisa na kama...
Profile visits ni idadi ya watu wanaotembelea ukurasa wako wa Instagram
unaweza kuangalia kupitia insights kufahamu kuhusu profile visits kupima maendeleo ya ukurasa wako
Ili kuwa na profile visits kubwa unapaswa kufanya mambo yafuatayo
BIO OPTIMIZATION
Hiki ni kitendo cha kutumia maneno...
CASH IS NOT THE KING
Najua wengi ni ngumu sana kuamini hiki ninachoenda kukiandika lakini sikuzote ukweli haufichiki na hata ambao wataamini naamini watashangaa sana, ukweli ni kuwa dunia ipo speed sana na kama bado hujui kinachoendelea basi nitaenda kuweka wazi kila kitu bila uwoga kuhusu...
Habari JF
Nahitaji kuagiza simu na mashine za kufanyia tshirt na cups printing kutoka USA na baada ya kufanya utafiti mdogo nikaona Vykingship kwa mizigo hii inafaa.
Lakini Tatizo likaja je wanatumia njia gani mzigo kunifikia Tz DHL au posta?
Kama kuna forwarding company nyingine nakaribisha...
Unaweza usiamini hiki ninachoenda kukiandika lakini nina asilimia 1000 hili jambo litatokea katika ulimwengu huu wa kidigitali.
Nina uhakika kwa nchi kama Marekani na China ATM MACHINE hazitakuwa na matumizi tena miaka 5 tu ijayo.
Ni wazi kuwa Marekani na china wanajaribu kutoka katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.