Vykingship wanatumia njia gani mzigo kunifikia Tanzania

frado

Member
Nov 26, 2020
8
23
Habari JF

Nahitaji kuagiza simu na mashine za kufanyia tshirt na cups printing kutoka USA na baada ya kufanya utafiti mdogo nikaona Vykingship kwa mizigo hii inafaa.

Lakini Tatizo likaja je wanatumia njia gani mzigo kunifikia Tz DHL au posta?

Kama kuna forwarding company nyingine nakaribisha ushauri pia

#fradofx
 
lakini Tatizo likaja je wanatumia njia gani mzigo kunifikia tz DHL
Dhl / Fedex ndio kampuni wanazotumia kuja Africa/Tanzania.
- Gharama zao ya kusafirishia hutokana na
#1. Ukubwa wa package
#2. Uzito wa package
- Hivyo kabla ya kuwatumia hakikisha unajua gharama ya kusafirishia utakayolipa kwa kutumia hii calculator waliyoweka: Calculate Shipping Costs | Vyking Ship’s Shipping Calculator
1606544138268.png

Kama kuna forwarding company nyingine nakaribisha ushauri pia
Naweza kukusafirishia, Gharama zangu zitatokana na #1. Tu [ Uzito wa mzigo ]
- Ili kulinganisha fanya hivi, Pata gharama za Vykingship kwa kutumia calculator yao, kisha nipe uzito wa mzigo wako nikupe gharama yangu.

Note
  • Gharama yangu ya kusafirishia waweza kulipia ndani ya wiki 2 hadi 3
  • Yaani ndani ya muda huo mzigo utakuwa tayari uko nchini na taratibu za clearnce zitakuwa zimeanza kufanyika
  • Wakati wao Vykingship, Unalipa kwanza ndipo wanakusafirishia. ila kwa mimi utalipia hapa hapa nchini baada ya mzigo kuwa umefika
  • Hivyo jukumu lako ni kutafuta gharama ya manunuzi tu, na ya kusafirishia itafuata baada ya wiki kadhaa
- Karibu: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
 
Dhl / Fedex ndio kampuni wanazotumia kuja Africa/Tanzania.
- Gharama zao ya kusafirishia hutokana na
#1. Ukubwa wa package
#2. Uzito wa package
- Hivyo kabla ya kuwatumia hakikisha unajua gharama ya kusafirishia utakayolipa kwa kutumia hii calculator waliyoweka: Calculate Shipping Costs | Vyking Ship’s Shipping Calculator
View attachment 1636518

Naweza kukusafirishia, Gharama zangu zitatokana na #1. Tu [ Uzito wa mzigo ]
- Ili kulinganisha fanya hivi, Pata gharama za Vykingship kwa kutumia calculator yao, kisha nipe uzito wa mzigo wako nikupe gharama yangu.

Note
  • Gharama yangu ya kusafirishia waweza kulipia ndani ya wiki 2 hadi 3
  • Yaani ndani ya muda huo mzigo utakuwa tayari uko nchini na taratibu za clearnce zitakuwa zimeanza kufanyika
  • Wakati wao Vykingship, Unalipa kwanza ndipo wanakusafirishia. ila kwa mimi utalipia hapa hapa nchini baada ya mzigo kuwa umefika
  • Hivyo jukumu lako ni kutafuta gharama ya manunuzi tu, na ya kusafirishia itafuata baada ya wiki kadhaa
- Karibu: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
Ahsante sana, hii ina maana hawa wataleta mzigo mpka nilipo SINGIDA kwasasa ie fedex/dhl na price the same iliyoonekana katika calculator
 
Mzigo kama unatumia DHL jaribu option kuwa watumie meli maana ukiwa unazidi KG 30 wanaweza tumia meli ila kwa hizo wiki 2 hapo wanatumia ndege na gharama ya kupakia sio poa itakuwa *2 ya bei. Pia kuna kampuni moja inaitwa dhl e-shop Africa jaribu kuwawaangalia hawa maana walikuwa wanaweka urahisi katika kuwaunganisha waafrica na western
 
Back
Top Bottom