Recent content by fpazi

  1. F

    JamiiForums Hisa za Kampuni ya kuchimba gas (Swala Tanzania)

    Du wewe kweli zero. Swala wapo inchi kavu na sio baharini, sasa wakodi meli ya nini? ingia www.swala-energy.co.tz usome kabla hujaonekana mjinga zaidi
  2. F

    JamiiForums Hisa za Kampuni ya kuchimba gas (Swala Tanzania)

    Akohi vp? Mbona umepotea? tangu ulivyoondoka Shelys sijakuona tena. Upo Dar au Mwanza?
  3. F

    JamiiForums Hisa za Kampuni ya kuchimba gas (Swala Tanzania)

    hisa moja ilikuwa inauzwa sh 500 mkuu. baada ya kulist tu ikafika sh 600. na sasa hivi ni sh 625. Mimi nimewekeza huko kaka.
  4. F

    JamiiForums Hisa za Kampuni ya kuchimba gas (Swala Tanzania)

    Duh, huyu mjali tumbo hajielewi kabisa. Hivi kweli kwenye dunia kama hii ya leo ya utandawazi bado kuna watu aina hii. Kama huelewi kitu bora ukae kimya, au uulize maana ujito thamani kabisa.
  5. F

    JamiiForums Hisa za Swala

    Kwa wale walioogopa kuwekeza swala. Watu wamewekeza mpaka hisa za ziada. Tuwekezeni wadau bila ya hivyo tutakufa maskini. UPDATE - SWALA TANZANIA INITIAL PUBLIC OFFER (IPO) Swala Energy Limited ("Swala" or "Company") provides an update of the Initial Public Offer (IPO) of Swala Oil & Gas...
  6. F

    JamiiForums Angalizo la TPDC juu ya ununuzi wa hisa swala oil

    Kwa wale wilioogopa kuwekeza Swala. wasome hiyo report hapo chini. watu wamenunu hisa kama njugu na hata kufikia kupita lengo. Tuacheni unazi, titakufa maskini tukiogopa kuwekeza. UPDATE - SWALA TANZANIA INITIAL PUBLIC OFFER (IPO) Swala Energy Limited ("Swala" or "Company") provides an...
  7. F

    JamiiForums 99% ya kazi zinazofanywa na wageni hata waTz wanazimudu, wageni wanapataje Work Permit?

    Bongo rushwa imekithiri. Mimi nafanya kazi kwenye kampuni ya oil and gas. Tupo wabongo tu hapa na kazi zinaenda. Alafu makampuni ya nje yanaamini kuwa watanzania sio wachapa kazi. kampuni yangu ilinipeleka Australia kufanya training alafu ikabidi nifanye presentation. wazungu hawakuamini kama...
  8. F

    JamiiForums Siku hizi ndoa hadi mimba, mimba ndo kigezo cha kuoana?

    Din ya kiislamu inkataza kabisa kuzaa nje ya ndoa. Na akipatikana motto, haruhusiwi kumrithi baba yake wala baba haruhusiwi kumuozesha motto huyo
  9. F

    JamiiForums Swala’s initial public offering oversubscribed

    wale waliokuwa wanabeza Hisa za Swala sasa angalieni hii. Wahindi wanaoishi bongo walichngamkia sana hii. Mimi mwenyewe nimechukua nyingi tu. Hii ndo investment yangu ya kwanza Swala Oil & Gas (Tanzania) Plc ("Swala" or "the Company") is pleased to announce the successful completion of its...
  10. F

    JamiiForums Job discription

    Wadau ebu angalieni hii job discription yangu. Natakiwa nikafanye interview tarehe 12. Mshahara nikiulizwa nitaje shillingi ngapi kutokana na hii job discription na kampuni yenyewe? maana sitaki kudhulumiwa About Swala Oil and Gas (Tanzania) Limited Swala Oil and Gas (Tanzania) Limited...
  11. F

    JamiiForums Muhimu

    wadau inamaana hakuna mtu wa kunipa hata rough fig ya mishahara ya hizi kampuni za kutafuta mafuta na gsi
  12. F

    JamiiForums Muhimu

    I know where the place is located, but the thing is I cannot go and start asking the staffs how they conduct their interview and how much they plan to reward the right candidate of the position
  13. F

    JamiiForums Muhimu

    Wana Jamii, mini natakiwa kwenda kwenye interview tar 12 mwezi wa 4 kwenya kampuni moja inaitwa SWALA OIL AND GAS (TANZANIA) LTD kama PLANNING ANALYST. Kwa kusema kweli sijui hawa jamaa wapoje katika swala la mishara na jinsi wanavyo conduct interview zao. Mwana jamii yeyote mwenye idea naomba...
  14. F

    JamiiForums Re: NAOMBA MAONI YENU WANA JAMII

    Wana jamii, Mimi nilfanya interview pale Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA), Nafasi ya SENIOR BUSINESS ANALYST. Sasa kitu cha ajabu waliniuliza huko ninakofanya kazi nalipwa shilingi ngapi. Mimi ninavyojua hawa jamaa wana scale zao. Nisaidieni hawa jamaa katika nafasi hii wanaweza kunilipa...
  15. F

    JamiiForums Wema Sepetu atangaza nafasi za kazi

    Huyu hayupo serious. hata kazi za kufanya hajaweka. Elimu inayotakiwa pia hajaweka.
Back
Top Bottom