Recent content by FourSix

  1. FourSix

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

    Wanawake mashoga ni WENGI
  2. FourSix

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wamasai waacheni kama walivyo

    Aiseee Sasa siku Zote mbona husemi mkuu..
  3. FourSix

    JamiiForums Tanzania Mama yangu na kaka yangu ni wachoyo sana, wanafunga friji wafanyakazi wasile, lakini ni washika dini sana

    Muda wote Yesu na Maria, Yesu na Maria, Yesu Wangu, Matendo yake Sasa,! Bwana Mkubwa Shetani anasubiri
  4. FourSix

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Kijana awakata mapanga na kuua mke na mume akiwatuhumu kwa uchawi

    Kutoka 22:18 usimuache mchawi aishi
  5. FourSix

    JamiiForums Tanzania Chota mihela Wasafi FM leo asubuhi katika Sport Arena imenishangaza

    Eti serikali iangalie vizuri! Serikali Iko bize kupanga safari Acha kamari mbwa wewe.
  6. FourSix

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua mpenzi wangu aliwahi kutoa mimba akiwa chuo

    Kwa walio pita chuo, kutoa mimba ni kawaida sana. Hawa ndio wife material wa zama zetu
  7. FourSix

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hataki kunielewa na yupo tayari kuachana na Mimi kisa mtumishi mwenzie

    Mzee umewekwa kama Plan B. Plan A kama haieleweki, wewe utatumika
  8. FourSix

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anapitia wakati mgumu sana hadi nimemuonea huruma

    Mke wa ndoa kawaida huchepuka na waliowahi mlala kabla yako.Sio watu wapya.SIo mwanzo Wala mwisho tayari wana agano hao watu. MNGEKUWA NA AKILI,MNGECHA KUOA KWA GHARAMA NYINGI YA FEDHA NA MUDA.
  9. FourSix

    JamiiForums Tanzania Ukifuatilia akaunti ya Peter Madeleka Twitter; utabaini ni mtu mwenye kisasi na asiyefaa kupewa madaraka yoyote

    mifumo ya kudai na kufuata sheria ilikwisha kufa miaka mingi, ajabu mtu mzima kama wewe hujui haya!
  10. FourSix

    JamiiForums Tanzania Ukionewa ni sahihi kushika bunduki na kuingia mtaani kuua watu?

    UZI hauna uzito, labda ungeuweka hivi." Ni nini Hamza kaonewa mpaka kubeba bunduki"?
  11. FourSix

    JamiiForums Tanzania Maoni: Uwekezaji ni mzuri zaidi ya Biashara

    @Gien Banks, asante mkuu andiko zuri
  12. FourSix

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mke mwenye miaka zaidi ya 30

    Nawasalimu Kwa Jina La Jamhuri Ya Muungano. Nami nitumie Fursa ya Jukwa Hili Kutafuta Nimpendaye, Wasifu Wangu: Elimu Ya Chuo Single Father, Miaka 41 Naishi DSM Mfanyakazi & Biashara Mkristo, KKKT Mfupi Kiasi, Mweusi &Mnene Kiasi. Wasifu Wa Mtarajiwa: Miaka 30 + Kabila Lolote Dini Yoyote...
Back
Top Bottom