Recent content by Fosia leonard

  1. F

    JamiiForums Tanzania Mwigizaji na shoga maarufu wa Nollywood Nigeria afariki ghafla akimegwa!

    Mungu kuumba mwanamke na mwanamme hakufanya makosa, kwnn wewe ufanye masahihisho? Funzo kwa ambao stil mnaish wenye tabia kama hzo.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Huduma ya kwanza

    Hakutakua na msaada wowote, ina bidi ukubaliane na yote kufa au kupona.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Tuwe na ikulu mbili moja airport na nyingine ya magogoni

    hiyo kali! Ila itasaidia xana maana nae kazd. Hilo wazo naomba bas lfke hata bungen lijadlwe.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Vifo JKT vyaongezeka

    kwan chadema ndo waliotoa taarifa hizo? Mbona unabwabwaja maneno bila hata kufkria? Watu ndo wametoa taarfa sio chadema. Unapokuwa unatoa jibu angali na hoja unayoitolea jibu.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa Muhimbili: This is unprofessional....!

    Pole zana kaka kwa yaliyokukuta, kiukweli co vzr na czan kama maadili ya kaz yanawafundisha ivo, ivi hawajui unapomkatisha tamaa mgojwa ya kuishi n tatizo kubwa? Hata kama mgonjwa anaweza kupona kutokana na maneno yao wanaweza sababisha mgonjwa akafariki hata kabla ya cku kwa sababu hata hizo...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Iddi Azzan Hivi ni mbunge?

    Jaman au alikua anatumia lugha ya picha mkashindwa kumuelewa kipindi cha kampeni?
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kama Clouds wameruhusiwa kukata rufaa, kwanini Redio Imaan pia isipewe nafasi kama hiyo?

    Kama mambo ya sensa yalishapita ya nn tena kuyaongelea? Hamjui kuwa kutokana na maneno hayo next time wa sensa mtasababisha mgomo mkubwa wa waislam kukataa kuhesabiwa? Ebu kila kitu nmachofanya angalia effect yake kwa baadae hata kama effect itajionyesha baada ya miaka mingi, angalien kizazi...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Matapeli sugu wa mtoni Mtongani akina ntunyungu

    Jaman polen xana kwa yaliyowakuta.
Back
Top Bottom