Ila ZEC nao si wa kuwaamini sana ...ivi c ndo hawa hawa wanauza hadi TV , AC, PASI, Microwave.....home appliances!!
😀😂😀😂😄
Mimi nilikuwa naangalia,maswali aloyokuwa anaulizwa yalikuwa si ya kitaalamu sana lakini alikuwa anajikanyaga sana,maswali ambayo ata kama mtu akusoma IT alikuwa na uwezo wa kujibu.Kama wewe mwenye hujiamini nani sasa hatakuamini.
Mshahara mkubwa inakujenga kujiamini ila kama mshahara kiduchu wanaopewa watangazaji wetu lazma atangaze kwa mawazo kwa sababu anatangaza huku anafikiria foleni atarudi vipi na daladala mbagala au tegeta!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.