Recent content by fortiusi

  1. fortiusi

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Dawasa jifunzeni kwa Tanesco kwa kufuatilia miundo mbinu yenu, na on time responds. maji yanamwagika mitaan siku tatu na pengine wiki maji yanamwagika huku watu wengine hawana maji na wananunua maji kwa bei kubwa mitaan, Mwisho wa siku mnapandisha bili za maji kwa sisi watumiaji wa maji kisa...
  2. fortiusi

    JamiiForums Tanzania HOME SHOPPING

    Kwa kipind hiki kigumu cha stay home safe epuka corona a.k.a COVID-19 . Tumekuletea huduma za nyumban karibu kwa wakazi wa DAR-ES-SALAAM unaweza kupiga number hizo hapo chini utaletewa chochote hapo ulipo iwe kutoka Gengeni, Sokon, Super market, Kkoo, Bugurun, Mabibo, na sehemu yoyote utalipia...
  3. fortiusi

    JamiiForums Tanzania Unahitaji kuwa Afisa Usalama? Give it a try

    Iman yake inamuangamiza mwisho wa kukoment.
  4. fortiusi

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

    Nadhani Kuna sababu ya MABASI ya abiria kuoshwa na kunyunyiziwa dawa kama ilivyo kwenye viwanja vya ndege. Ili kupunguza kuonea kwa virusi vya Corona na hiki nikipindi pale gari ikifika kituo kikuu kwa kila mzungunko, tutaweza kusaidia abilia wetu na watanzania kwa kutokuendelea kuambukizwa...
  5. fortiusi

    JamiiForums Tanzania Wakuu nimeibiwa laptop 2 kwenye gari

    Pole ndugu ushaur Tumia panado kama utakuwa na maumivu ya kichwa uchovu kukosa usingiz kupunguza mawazo na hasila Achana na wajadi utatumikia mashetani na hautopata hizo mali kamurudie MUNGU utapata zaid ya hivyo #tumiakiwatilifukunawamikonokwamajitililikacovid-19 inaepukika
  6. fortiusi

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Viongozi wa CHADEMA: Seneti ya Marekani yadai Tanzania ni vigumu kuwa na Uchaguzi Huru 2020

    They rather mind on their own #trump leadership
  7. fortiusi

    JamiiForums Tanzania Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

    Ungejikalia kimya ushakosa ulaji 2015 tulia ule makombo kama ukuiendelea na makombo utayasikilizia sege
  8. fortiusi

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi magari ya abiria kujaza mafuta ‘sheli’ yakiwa na abiria wengi?

    Je, ni sahii kwa magari ya abiria kujaza mafuta katika vituo vya mafuta yakiwa yamepakia abiria? Hii imekuwa kawaida siku zote tukiona daladala na hata mabasi ya mikoani yakijaza mafuta na hapo yamepakia abiria. Kwa mfano siku moto ulipuke na uteketeze abiria wote ndipo sheria zitatungwa na...
  9. fortiusi

    JamiiForums Tanzania Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

    Trump ndie atanyongwa mda so mwing wamarekan watamkataa na hawatamuunga mkono kwenye hii vita aliyoianzisha mwenyewe HATA wamarekan hawajafrahia kitendo alichokifanya trump kwa Iran Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom