Katika pita pita yangu mitaani nimekutana na wanafunzi wengi waliohitimu kidato cha sita wakilalamika kupandishiwa kiwango cha vigezo vya kujiunga Vyuo Vikuu kutoka daraja la ufaulu wa 'E' mbili (two principal passes) hadi D mbili hasa wa masomo ya Sayansi (PCM, PCB, PGM, CBA, CBG) na wengi wao...
Bado suala la Elimu nayo imefanywa kuwa ngumu kwa watoto wa maskini hasa wanao maliza kidato cha sita na diploma ufaulu umepandishwa ghafla pasipo kuwaandaa walengwa .
Nilikuwa Dodoma Leo nashangaa nguo za CCM zimejazana nje ya makao Makuu ya CCM ambavyo ni tofauti na miaka mingine ya uchaguzi huzikuti! Ama kweli kazi ipo
Liwe funzo kwa wanasiasa wetu kumshambulia mtu badala yake ni vema washambulie mfumo wa kiutawala kama vile chama ama serikali pasipo kutaja majina ya watu hujui kesho mtakutana wapi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.