Amani iwe kwenu.
Naomba kufahamishwa juu ya vyuo vya Serikali na binafsi vinavyofundisha Diploma ya Nursing vilivyopo katika mikoa ya Morogoro, Dar es Salaam na Pwani. Nimepitia website ya Wizara ya Afya sikuona link ya kunipatia list hiyo. Any suggestion o?
Tafadhali kama unajua chuo kimoja...
Habari wanajamvi.
Sina hakika kama hii ndio forum sahihi kwa ombi langu, km sivyo mniwie radhi. Mm nina shida moja ndogo. Naomba kufahamishwa kuhusu gari ya kununua. Mkononi nina milioni nane nimezipangia kununua gari haraka iwezekanavyo. Naomba kujuzwa kwa hela hiyo naweza pata gari ya aina...
We nae unampenda dadaako nini? inaelekea unamchungulia mpk bafuni, maana umewezaje kuconcetret kwenye kifua cha dadaako na kugundua kuwa ana chuchu ndogo?
Hoja hujibiwa kwa hoja si matusi. Aidha, wewe na wenzako wote msiosoma hoja mkaelewa nitajieni mtu mmoja ambae alipima akaonekana ana Virus na baada ya kunywa maji yale akapima tena na kuonekana hana virus. Na je hyo dawa ya babu yako inaweza kutestiwa kisayansi na kutumika hospitalini?
Sipingi na wala sitapinga wagonjwa kumiminika kwenda Loliondo kupata dawa ya magonjwa sugu inayotolewa na Mch. Mstaafu Ambilikile. Lakini kama anayosema ni kweli basi Mungu aliyempa uwezo huo atakuwa ni Mungu ambaye mm simuabudu. Tujiulize ni Mungu gani atampa mtu kuponya watu na kumzuia mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.