Gari ya Milioni nane au tisa

Gari ya Milioni nane au tisa

Foreina

Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
9
Reaction score
3
Habari wanajamvi.
Sina hakika kama hii ndio forum sahihi kwa ombi langu, km sivyo mniwie radhi. Mm nina shida moja ndogo. Naomba kufahamishwa kuhusu gari ya kununua. Mkononi nina milioni nane nimezipangia kununua gari haraka iwezekanavyo. Naomba kujuzwa kwa hela hiyo naweza pata gari ya aina gani? Sio ya kununua kwa mtu bali show room. Kuna show room yoyote inauza magari kwa bei rahisi? Naomben msaada wenu.
 
Nina toyota Hatchback ina mile 54,500, ya mwaka 2002. naweza kukutumia picha kwenye Viber or whatsaap. Naweza kukuuzia kwa hizo 8M ila itabidi utoe mwenye bandarini. Kama uko interested in PM. Tuanze mchakato. Naweza ituma anytime.
 
IT Carina unapata ukiongeza kidogo huko showroom
 
Back
Top Bottom