Recent content by Ford89

  1. F

    Kichwa kinamuuma, anasahau pia uelewa umepungua

    Ndugu yangu wa kiume yupo kidato cha nne karibia muda wote kichwa kinamuuma, anasahau mambo mara kwa mara pia uelewa umeshuka, alienda Temeke hospitali kufanya vipimo akaambiwa hana tatizo. Naombeni mawazo yenu
  2. F

    Nahitaji FENI+TV Niko Dar

    unaiuza sh ngapi?
  3. F

    Wapi wanatoa mitiahani ya SISCO ?

    karibu center zote ada ya mtihani ni dola 300 ambapo ni sawa kama na laki 5 tzs.....hapo nazungumzia CCNA routing and switching
  4. F

    Dar es salaam Institute of Technology (DIT)

    dit roomwatu 2 ila first year hawakai main campas.....wanakaa hostel za chang'ombe
  5. F

    Modem za 3.5G HSPA 7.2 Mbps zinapatikana wapi ?

    Nashukuru sana kiongozi kwa msaada wako
  6. F

    Modem za 3.5G HSPA 7.2 Mbps zinapatikana wapi ?

    Kitambo sana kuna mwamba mmoja aliniulizia modema kama hyo...ila kwa sasa simpat hewan...so mwenye kujua wap naweza kupata modem kama hyo...na kama unafahamu niambie bei yake ina range vip?
  7. F

    Kitabu cha fasihi ulichowahi soma ni kipi?

    HARAKATI ZA JORAM KIANGO....hii series ina vitabu kama...lazima ufe jorum,mikonon mwa nunda,mtambo wa mauti,salamu toka kuzimu,najisikia kuua tena...tutarudi na roho zetu? na vingine vingi...binafsi namkubali sana BEN R MTOBWA. pia kuna utata wa 9 decembe cha HUSSEIN TUWA
  8. F

    Wale wa UDOM tulio badilishiwa kozi na chuo tufanyaje?

    Mambo yakusomeshana koz usiokuwa nA mipango nayo sio poa kabisa......
  9. F

    Room 1 watu 8! Hapa MUST mmechemka

    Daah inatia simanzi,kuna watu wanasoma kwa shida sana
  10. F

    Room 1 watu 8! Hapa MUST mmechemka

    Unajua nin mkuu...wengi wetu huwa tunaongea mambo kutokana experience,mi nimetoka diploma dit...mwaka wa 3 tulikuwa tunakaa room watu 2 tu....na watu wa shahada wao kuanzia mwaka wa kwanza mpaka wa mwisho wanakaa room watu wa2 tu....kwa hyo nikiona sehemu kuna tofaut lazima nishangae...tena...
  11. F

    Room 1 watu 8! Hapa MUST mmechemka

    huko room 1 watu wangapi?
  12. F

    Room 1 watu 8! Hapa MUST mmechemka

    mbeya university of science and technology...nilikuwa nasoma join instruction yao hawa jamaa...nilipofika kwenye mambo ya hostel nikachoka....eti chumba watu 8. jaman ...,kama watoto wa secondary....kumbe ni watu wanaosomea shahada....
  13. F

    Ukiwa chuo, tegemea yafuatayo

    Inaonyesha hujaelewa ubishi unaozungumzwa hapa....
  14. F

    Ukiwa chuo, tegemea yafuatayo

    daah,kwa hyo maostazi walokole mnatukataa au sio? daah baridi tu
  15. F

    HESLB wanamaanisha nn?

    kama hujajisajili huwez kughairisha mwaka..maana chuo kinakuwa hakikutambui na baada ya muda flan kupita nafas yako inapotea...kwa hyo mwakan unaanza upya kufanya application
Back
Top Bottom