Kitabu cha fasihi ulichowahi soma ni kipi?

Kitabu cha fasihi ulichowahi soma ni kipi?

VPN USED2020OCTOBER28

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2011
Posts
1,505
Reaction score
677
KWANGU MIMI BINAFSI PAMOJA NA KUSOMA RIWAYA, TAMTHILIYA, NA USHAIRI ...... LEO NIMEITIMISHA KUWA HAKUNA HADITHI AU KITABU KIZURI KAMA CHA Passed like @a Shadow KILICHOTUNGWA NA Benard Mapalala.....
NADHANI HII RIWAYA INAMGUSA KILA MTU..

NITAJIE KITABU CHA FASIHI ULICHOWAHI SOMA NA UNAKIONA NDICHO KITABU CHAKO BORA KABISA..
 
Last edited by a moderator:
Kizazi kipya

Utotole na Mzingile ndio habari yenyewe!
 
KWANGU MIMI BINAFSI PAMOJA NA KUSOMA RIWAYA, TAMTHILIYA, NA USHAIRI ...... LEO NIMEITIMISHA KUWA HAKUNA HADITHI AU KITABU KIZURI KAMA CHA Passed like @a Shadow KILICHOTUNGWA NA Benard Mapalala.....
NADHANI HII RIWAYA INAMGUSA KILA MTU..

NITAJIE KITABU CHA FASIHI ULICHOWAHI SOMA NA UNAKIONA NDICHO KITABU CHAKO BORA KABISA..

mkuu kuna kijitabu kidogo sana kina page kama 8-10 hivi,kinaitwa "the modest proposal" kimendikwa na jamaa mmoja anaitwa jonathan swift.ni balaa mkuu.kama unaweza kitafute.am sure ukikisoma kwa mara ya kwanza hutakielewa ni mpaka mtu akwambie kinahusu nini.pia kuna kitabu kimoja kinaitwa "god's bits of wood" ikiwa na maana the "the children of God" mwandishi ni msenegali mmoja anaitwa sembene ousmane.hichi kitabu mjomba ni balaa pia.
 
Riwaya zote zinazoandikwa na gwiji la wahandishi chini ya jua "Erick Shigongo"kwangu ndiye muhandishi bora wengine wanasubiri.Riwaya zake kama blood and tears,please mom don't kill my children,its me and my world,rais anampenda mke wangu sambamba na siri iliyotesa maisha yangu.Ni bonge la hadithi zenye visa na matukio ya kusisimua.
 
Kasome Ngoswe penzi kitovu cha uzembe ni balaaaaa!!!! Utakirudia rudia mwisho kitakaa kichwani chote! Ni utamu tupuuuu!!
 
Mfalme Juha has always been my favorite ... ratili moja pesa moja. solving all problems by one solution.
 
"The river between" cha Ngugi wa Thiong' ni moto wa kuotea mbali. Pia "I will marry when I want" kama sikosei ni cha Chinua Achebe. Ukimaliza hapo tambaa na "A Man of the People" cha Chinua Achebe, hakika utatamani uhame Tanzania.
 
KWANGU MIMI BINAFSI PAMOJA NA KUSOMA RIWAYA, TAMTHILIYA, NA USHAIRI ...... LEO NIMEITIMISHA KUWA HAKUNA HADITHI AU KITABU KIZURI KAMA CHA Passed like @a Shadow KILICHOTUNGWA NA Benard Mapalala.....
NADHANI HII RIWAYA INAMGUSA KILA MTU..

NITAJIE KITABU CHA FASIHI ULICHOWAHI SOMA NA UNAKIONA NDICHO KITABU CHAKO BORA KABISA..
KWANGU MM KITABU CHA MFADHILI NI BORA
 
Last edited by a moderator:
HARAKATI ZA JORAM KIANGO....hii series ina vitabu kama...lazima ufe jorum,mikonon mwa nunda,mtambo wa mauti,salamu toka kuzimu,najisikia kuua tena...tutarudi na roho zetu? na vingine vingi...binafsi namkubali sana BEN R MTOBWA.
pia kuna utata wa 9 decembe cha HUSSEIN TUWA
 
Back
Top Bottom