Kichwa kinamuuma, anasahau pia uelewa umepungua

Ford89

Senior Member
Jul 31, 2011
128
15
Ndugu yangu wa kiume yupo kidato cha nne karibia muda wote kichwa kinamuuma, anasahau mambo mara kwa mara pia uelewa umeshuka, alienda Temeke hospitali kufanya vipimo akaambiwa hana tatizo.

Naombeni mawazo yenu
 
Mpeleke clinic ya macho pale shoppers plaza, msasani. Nenda pale unaweza kupata msaada. Ukishindwa hapo we zama kwenye mitishamba.
 
Back
Top Bottom