Recent content by food test

  1. food test

    Yaliyojiri mechi ya Yanga Vs Simba Feb 20, 2016 Yanga yapaa kileleni

    Referee hawez kuchezesha kabisa
  2. food test

    Natafuta shule ya O level Kigamboni

    Fly Louis Amigo christian sec school ni shule nzuri inayoendeshwa kwa maadili ya kikatoliki ipo kigamboni TUNGI ni ya kutwa na bweni wavulana na wasichana kwa upande wa ada sina ufaham zaid
  3. food test

    Nani anaijua shule ya wakorea iliyoko Mbagala Kongowe? Inaitwaje?

    philadephia english medium school, centenial christian seminary zote zipo chini ya uongozi wa wakorea, interview kwa wanaotaka kujiunga kidato cha kwanza zilifanyika september
  4. food test

    Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    hali ya chuo ipo good mkuu we ni me au ke? nipm namba yako bas nipo udom coed
  5. food test

    Akigundua nina hela ananiita "baby"

    mkuu mfanyie ziara ya kushtukiza
  6. food test

    Ushauri tafadhali

    gombea ubunge ukaibe escrow uzalishe
  7. food test

    Huwa napagawa sana nikiona wameyachomeka kwny ch*pi au taiti

    ukisikia paaaa..... jua imekukosa, aliyelenga na shabaha, amefanya makosa.
  8. food test

    Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    vp kuna aliyepata mkopo? na vp kwa wale ambao hawakuomba watafikiriwa??
  9. food test

    UDOM: Special Diploma tunaenda au hatuendi?

    kuna aliyepata mkopo special diploma?
  10. food test

    Wale wa UDOM

    haukuthibitisha?
  11. food test

    Admission letter special diploma udom kupitia nacte

    mkuu, mkopo inakuaje maana sielewi
  12. food test

    Msichana kanipenda lakini yupo na kigogo

    pole xana mkuu itabidi uende kwa mama juma wa pale gengeni akupe walau kikombe kimoja cha uji wa mhogo
Back
Top Bottom