Fanya mpango uolewe kwanza.
Habari ya weekend wapendwa, mm ni mwanamke mwenye umri wa miaka 27 nna mtoto mmoja na mm ni single parent. Nashukuru Mungu nna kazi nzuri inayonilipa vizuri(private sector). Nimejiwekea vijipesa vyangu na sasa angalau nina amount kubwa. Nlikuwa naomba ushauri ndugu zangu, eti nifanye kipi kati ya haya
* ninunue kiwanja nianze kujenga
*ninunue gari nliyokuwa natamani kwa muda mrefu
*nitafute biashara ya kufanya
NB:hyo pesa inatosha kufanya kimoja tu kati ya hivyo
Natanguliza shukrani.
Kuna mtu tu na akili zake za Ijumaa, atakuja hapa akushauri uolewe. We subiri tu.
Bora anunue gari.........maisha haya mafupi.......huwezi jua........
Kuna mtu tu na akili zake za Ijumaa, atakuja hapa akushauri uolewe. We subiri tu.
NB: kumbuka aridhi unayonunua Leo may be kwa 10M, baada ya mwaka mmoja inaweza kuuzwa kwa 30M bila presha! So tuliza boli,acha kukimbilia presha za ajari na uncertainties za biashara. Again, kila LA kheri. Kumbuka kununua aridhi popote inapopatikana.
Fanya mpango uolewe kwanza.
e bana vipi tena.... white rose usinunue kiwanja,usinunue gari wala usifanye biashara njoo nikuoe. una akili sana utanifaa.
Wewe unakuja lini, tukushauri uolewe?Yupo tayari amekuja...ha ha haaaa
Ardhi....
Kwa hiyo akinunua gari anayarefusha?!!! Think well
Wewe unakuja lini, tukushauri uolewe?
Maisha ni nyumba bidada.Jenga kwanza hayo mengine utafanya baadae