Recent content by Food Scientist

  1. Food Scientist

    Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

    Hivi karibuni!!
  2. Food Scientist

    Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

    Upo tayari kwa somo? Je unajua kwamba, Ng'ombe mmoja anaweza kutoa maziwa Lita 30 kwa siku? Umejiandaa kuwa mfugaji? Ng'ombe wanapatikana, Pure breed. Jersey, Friesian, Fleckvie etc. Somo litakuja. 0737212132!!
  3. Food Scientist

    Ujasiriamali 2: Usindikaji wa Mtindi (Sour Milk)

    Kiutengenezaji soma mabandiko yote mawili, nimeeleza. Kinutrition hakuna sana tofauti, lkn kuna some flavonoids zinaongezeka kwenye yogurt. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Food Scientist

    Ujasiriamali 2: Usindikaji wa Mtindi (Sour Milk)

    Ndio, Siagi ni kama unavyo ona blueband ile ya mkate, samli ni mafuta yalio katika kimikinika. Though hata siagi unaweza tumia km mafuta. Siagi fat content ni km 80%, while samli almost 95%. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Food Scientist

    Ujasiriamali: Usindikaji wa Yoghurt na Mtindi

    Wasubiri nn mkuu? Nishaweka bandiko la mtindi Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Food Scientist

    Ujasiriamali: Usindikaji wa Yoghurt na Mtindi

    Unahitaji nn zaidi mkuu? Karibu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Food Scientist

    Ujasiriamali: Usindikaji wa Yoghurt na Mtindi

    Mtindi mada yake ipo humu tayari nishaweka Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Food Scientist

    Ujasiriamali: Usindikaji wa Yoghurt na Mtindi

    Umefikia wapi, Karibu. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Food Scientist

    Ujasiriamali 2: Usindikaji wa Mtindi (Sour Milk)

    Namba ya simu ipo kwenye bandiko la mada, hivyo yeyotr ambae atahitaji kufanya hii biashara anaweza nitafuta. Kwa biashara hii kupata faida hakikisha unapata maziwa ghafi (toka kwa mfugaji) bei isizid 1,000 hadi 1200Tzs kwa lita moja. Ukiwa na uhakika wa kupata maziwa chini ya buku kwa lita...
  10. Food Scientist

    Ujasiriamali 2: Usindikaji wa Mtindi (Sour Milk)

    Upo serious na hii biashara? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Food Scientist

    Ujasiriamali 2: Usindikaji wa Mtindi (Sour Milk)

    Namba ya simu mbona ipo kwenye bandiko? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Food Scientist

    Ujasiriamali 2: Usindikaji wa Mtindi (Sour Milk)

    Kwa kiwango gani Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Food Scientist

    Ujasiriamali 2: Usindikaji wa Mtindi (Sour Milk)

    K.koo nankuna viwanda vidogo vinazalisha... Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Food Scientist

    Ujasiriamali 2: Usindikaji wa Mtindi (Sour Milk)

    Tz, kenya... Inategemea na unataja kiasi gani!! Kwa kenya ni cheap kuliko bongo Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Food Scientist

    Ujasiriamali 2: Usindikaji wa Mtindi (Sour Milk)

    Karibu sana Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom