Recent content by folota

  1. folota

    JamiiForums Tanzania Majina yangu 10 yanayofaa Nafasi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

    Balile naunga mkono
  2. folota

    JamiiForums Tanzania Latra mfumo sio rafiki kwa wateja

    Mfumo unauliza maswali unajibu yote ya nida ukikamilisha unaambiwa utatumiwa link ukipata link ni kama unaanza moja
  3. folota

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Kariakoo wagoma kuhama kupisha Wawekezaji

    Hapo lilipo jengo la n. h .c palikuwa hivyo maboresho yakafanyika sasa ni maofisi na limechukuwa watu wengi zaidi wapishe maendeleo zama za kukataa kila kitu zimeisha
  4. folota

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi hali ni mbaya sana

    Huko kimara nasikia kushikana hukusisimui tena demu wa kimara shida zao wanamalizia huko mwendo kasi wanapenda kukaa mlangoni ili washikwe vizuri na kukumbatiwa gari ina nafasi ndani lakini milango haifungi
  5. folota

    JamiiForums Tanzania Siasa VS Uchumi: Sakata la Bandari zetu

    Nchi inataka kufanya maboresho ya bandari bungeni imefuata nini. Watu watoe maoni ya nini naona siasa kuliko uhalisia dp wapewe kazi tuone kontena zikipakiwa kwa wakati na milolongo ipunguwe sio ukipakia contena gari inachukua masaa ma4 kutoka getini. Watumie mfumo wa t.r.h ukipakia dakika 5...
  6. folota

    JamiiForums Tanzania Marufuku ya mitumba wenzangu na mimi tutatoboa kweli?

    Mguo za bluu china ni nini wanapendeza tu na sisi tujaribu
  7. folota

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Shule za Diamond na Olympio zipo Juu ya Sheria?

    Watoto wasome kupunzika ni baadae ukiona unalalamika ujue unataka mtoto wako awe panyaroodi kusoma si lazima basi mitaala ni ileile asome karibi na nyumbani
  8. folota

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa ndege wa mkoa wa Morogoro upo wapi?

    Waluguru wanapambana na maboga huko mlimani ndege yanini? Mkude yupo hapa anasema hata hiyoi treni ya umeme ni ngumu kwa mluguru kupanda yeye ni abudi bus tu inamshusha anapotaka
  9. folota

    JamiiForums Tanzania Neema Swai: Rubani ATCL aliyerusha ndege ya mizigo kutoka Marekani

    Tupate na komandoo wa kike mmoja tu hapa bongo hapo ndio nitajua wanawake wanaweza
  10. folota

    JamiiForums Tanzania Hii ndio miradi ya maprofesa wetu Tanzania

    Mayele azizi chama morison wanalipwa gali kuliko wahadhiri na maprofesa wetu lipumba kwa kipato anazidiwa na mama ntilie,unataka wafanye biashara gani kama sio hizo hapo juu
  11. folota

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa kumuona Rostam anapewa mkataba wa uwekezaji tena

    Huyu jamaa huwa anawekeza pia hapa tanzania unajua ukitaka kujenga gorofa hapa tanzania ukishindana na kampuni za rostam hutoweza kumshinda sababu amenunua compresa yenye uwezo wa kupandisha zege gorofa ya 30 na bei zake ni za kizalendo sio kama za wachina kwanini mnachafua majina ya watu bila...
  12. folota

    JamiiForums Tanzania NEMC yazifungia Bar, Kumbi za Starehe 89 zikiwemo Wavuvi Kempu, Boardroom, Ware House

    Matokeo ya malumbano ya hoja i t v wiki iliopita watajua hawajui tutafungua miziki ya magari cjui fine watapiga toyota au mwenye gari
  13. folota

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Tunaomba tv ya kbc iongezwe kwenye kingamuzi chenu pamoja na tv za uganda kama sbc
  14. folota

    JamiiForums Tanzania Ifahamu ishara ya tandu, jongoo, sisimizi na popo nyumbani kwako!

    Usipoishi na sisimizi popo bundi mjusi nnge wewe ni tatizo hawa ni viumbe kama wewe wanapenda kukaa sehemu salama.hata wewe mahali ulipo ukiona sio salama kwako hama.mawazo ya mtoa mada ni upotoshaji wenye nia ovu au ndio njia yake ya kujitafutia
Back
Top Bottom