Uwanja wa ndege wa mkoa wa Morogoro upo wapi?

Uwanja wa ndege wa mkoa wa Morogoro upo wapi?

Morogoro ni mji wa kijeshi ule kuna dhana nzito za kijeshi pale

Hii ndo sababu ya kutoweka uwanja wa ndege ndani ya morogoro sijajua mantiki haswa ya kutoweka airport in morogoro

Labda tuangalie na Nchi za wenzetu kma ile mikoa ya kijeshi kma morogoro kuna uwanja wa ndege?
Wabongo kwa kuustify mambo.....kwa hiyo kukiwa na Airport kunaathiri vipi utendaji wa jeshi?
 
Ndiyo, kituo cha hiace hicho Morogoro njia ya Mazimbu! Ukweli wa jina lenyewe ni Kama Ipo, Ipo tu! Sasa sisi wenyeji tukafupisha ikawa Ipoipo!
Napafahamu vema mkuu,Kona ya kwenda sua ,ukinyoosha mbele unatokea maghorofani
Hiyo Airport naijua
Moro
 
Upo Kihonda. Panda hiace za Mazimbu shukia pale kituo kinaitwa Ipoipo! Uliza uwanja wa ndege watakuonesha!
Unaonekana vizuri ukiwa unatokea kule kwenye maghorofa ya BIMA kabla hujafika Educare sekondari mkuu ila ni nyasi tu.
 
Unaonekana vizuri ukiwa unatokea kule kwenye maghorofa ya BIMA kabla hujafika Educare sekondari mkuu ila ni nyasi tu.
Ndiyo, nyasi kwa wingi mpaka SUA tulikuwa tunaenda kuvuna na matrekta kwa ajili ya kutengeneza hay!
 
Waluguru wanapambana na maboga huko mlimani ndege yanini? Mkude yupo hapa anasema hata hiyoi treni ya umeme ni ngumu kwa mluguru kupanda yeye ni abudi bus tu inamshusha anapotaka
 
[emoji16][emoji16]
Waluguru wanapambana na maboga huko mlimani ndege yanini? Mkude yupo hapa anasema hata hiyoi treni ya umeme ni ngumu kwa mluguru kupanda yeye ni abudi bus tu inamshusha anapotaka
 
Yaani wenyewe wanajua abood tu[emoji16][emoji16]
Waluguru wanapambana na maboga huko mlimani ndege yanini? Mkude yupo hapa anasema hata hiyoi treni ya umeme ni ngumu kwa mluguru kupanda yeye ni abudi bus tu inamshusha anapotaka
 
Back
Top Bottom