Pia thread yako sio rafiki, watu ambao hawako kwenye biashara ya usafirishaji hawawezi kuelewa hii thread..Mfumo unauliza maswali unajibu yote ya nida ukikamilisha unaambiwa utatumiwa link ukipata link ni kama unaanza moja
Acha hasira, eleza kitu ueleweke.Mfumo unauliza maswali unajibu yote ya nida ukikamilisha unaambiwa utatumiwa link ukipata link ni kama unaanza moja