Recent content by folofolo

  1. folofolo

    Msaada dawa ya meno yasitoboke

    Pole sana,nunua ile dawa ya meno ya hawa jamaa wa Forever Living ni imetengenezwa na Alovera wanauza 12,000,mimi imenisaidia sana nina tatizo kama lako,na kuna dawa nyinine ya hebal inauzwa pale msikiti wa mtoro Kko nayo inasaidia iko simple sana unasukutua nayo kama mouth wash ni ya maji...
  2. folofolo

    Tinted kwenye madirisha ya magari ni kwa ajili gani.

    Ni privacy tu mkuu,kila mtu anasababu zake,lakini mwisho wa siku jibu halali ni Privacy,jaribu na wewe kuweka ndo utajua nini maana yake,ukitaka kupata maana juu ya Tint utapewa zaidi ya mia. Achana na dhana potofu kuwa tint ni kama uhuni fulani. Asante.
  3. folofolo

    Mambo 10 muhimu kuhusu blogu

    Darasa zuri sana kaka,asante.
  4. folofolo

    Ushauri: Status ya mizigo baada ya Japan kukumbwa na Tsumami

    Ushauri wangu ni kuwa mpole na kuomba mungu,maana sasaivi dunia yote macho yanaangalia ndugu zetu wa japan,najua hali utakayokuwa nayo kama mfanyabiashara,ila ni kumuomba mungu tu maana kila alie kuwa japan yuko katika hali mbaya sana kipindi hiki na hawana umeme,na muda si mrefu wametangaza...
  5. folofolo

    Mfungwa katoroka gerezani!!

    Hahahahhahahahhahahahhahahahahahahahhahahhhaahahhaahahahhahahahahahahahhahahahahahaaaaaaahhhhhahahahahahahaahahahaha,Inatosha.
  6. folofolo

    Elimu na uelewa wa watangazaji wa clouds fm

    wanachonikera ni kujifanya wanajua kila kitu na kuchambua maswala yasiyowahusu,kuwakandia wasikilizaji wenzao na matusi juu,sujaipenda kabisa.
Back
Top Bottom