Msaada dawa ya meno yasitoboke

Labda nweke clear, kuna jino lmetoboka af nlienda kwa dokta m1 akaniambia no way unaweza fanya jino lililo oposite na hlo listoboke. Na nmekuwa nkisikia kwamba kuna miti shamba ambayo inaweza enda ua wadudu na meno mengne hayawez endelea toboka.
 
POLE SANA KWA MATATIZO.
Nashauri nenda kwa dk wa meno ayatetabulika, kama upo dar, nenda muhimbili watakupima na kukushauri. uko wapi ndugu nikusaidie zaidi?
 
npo dar, 1st time nlienda mwdnanyamala n magomen hospitals na kote walnambia same stori.
 
Pole sana,nunua ile dawa ya meno ya hawa jamaa wa Forever Living ni imetengenezwa na Alovera wanauza 12,000,mimi imenisaidia sana nina tatizo kama lako,na kuna dawa nyinine ya hebal inauzwa pale msikiti wa mtoro Kko nayo inasaidia iko simple sana unasukutua nayo kama mouth wash ni ya maji inauzwa buku tu.pole sana.
 
weka gel ya aloevera; ukikata aloevera leave ndani kuna gel fulani; just put it in your teeth inasaidia na imenisaidia 100%; no side effects ever!
 
fafanua hapo kidogo, hiyo gel unaitap vp na unaweka ktk jino lilotoboka o n kinga kwa meno yasitoboke..?
 
Back
Top Bottom