Recent content by FOCAL

  1. F

    JamiiForums Tanzania Sheikh Bakoz: Wizi unaofanyika bandarini unabarikiwa na kanisa Katoliki

    Haya ni maajabu mapya ya karne hii
  2. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasifu (CV) wa Naibu Waziri wa Elimu, Wanu Hafidh Ameir sijauelewa kabisa

    Ni mbunge wa bunge la JMT kupitia baraza la wawakilishi, nadhani huwa wanakuja watano
  3. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Malisa awafungulia Kesi Rais Samia na IGP Wambura Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) The Hague

    USA ukaa bila raisi kwa miezi kadhaa, inategemea na katiba yenu tu
  4. F

    JamiiForums Tanzania Pita hapa uone jinsi AI inavyotumika kutimiza ule unabii unaohusu mwisho wa dunia!

    Haleluya, nimezinduka na asante sana
  5. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

    Ni sawa lakini kuna uhakika wa kipato kwa anyefanya kazi na ana nidhamu ya pesa. 2018 mmoja wa jamaa zangu alinialika pale New Orleans na nikapata wasaa wa kuwatembelea marafiki walioko huko, wengi wao wako vuzri, hawana nyumba kule lakini hapa bongo wamewekeza sana. Ni ajabu kuipondea ile nchi...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

    Nani anayefikiri hivyo, ukweli ni kuwa kule kuna fursa nyingi kama umeingia kwa njia halali. Utapambana lakini inakulipa. Hapa unashindia shamba unalima ufuta, utakachokipata hakitoboi hata miezi mitatu. Unaanza msoto mpaka msimu ujao. Bongo watu wanapambana sana ila tija ni ndogo sana.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

    Mbona wewe unataka kupangia watu maisha?. Nina ndugu na maclass mate wako huko tangu 1990s, na familia zao wako njema na jamaa wamewekeza. Acha kugeneralised mambo mkuu.
  8. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

    Inabidi ujipange kweli kweli kwa hiyo customer care
  9. F

    JamiiForums Tanzania Waziri wetu Dkt. Gwajima, huyu “Anko T” Wizara yako imeshindwa kabisa kumuweka sawa?

    unatumia sheria gani kumkamata?una ushahidi gani kuwa ni shoga?
  10. F

    JamiiForums Tanzania Hebu tujikumbushe kidogo elimu ya mgombea urais wa CCM

    Alisoma kwa njia ya posta enzi hizo Open University haipo.
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Punguza ujuaji mkuu, yaani 400K uibane hadi ujenge? Labda uwe unaishi sayari ya Mars. Hiyo elimu tunaijua sana, tatizo kwa hiyo pesa hesabu hazikubali kabisa.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kutana na koboko(black mamba), uliescape vipi maana huyu sio wa mchezo

    mmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhh
  13. F

    JamiiForums Tanzania Samia anaweza kuwa ndio Rais mwenye msululu wa magari mengi kwenye msafara wake kuzidi maraisi wote duniani

    Siku nilipomuona aliyekuwa nadhani waziri mkuu wa Uholanzi akienda kukabidhi ofisi kwa usafiri wa baiskeli, nilishangaa sana. Makabidhiano yenyewe utafikiri mwalimu mkuu wa shule ya msingi anakabidhi ofisi, yaani ni dakika chache tu wamemaliza
Back
Top Bottom