Asante Ole Mushi,umesema kweli, natamani ujumbe huu uwafikie wahusika. Ni kweli, watanzania tunapendana lakini wachache wenye madaraka, tena ya muda tu, wanabagua watanzania kwa mlango wa siasa. Mungu atusaidie
You said it all. Let our leaders know that bila haki hakuna amani. Tuombee Haki amani itakuja tu. Hata Martin Luther King Jr alisema ''No Justice no peace'' huu ni ukweli usiopingika and only bias and unreasonable people can deny this truth.
Hii nimeipenda sana. Hongera sana Waziri kwa kuonyesha uwazi ktk kazi. Endelea hivyo hivyo. Hakikisheni hayo matumizi ni halisi. You have our support and prayers!
Kweli bizplan shida tuliyonayo ni mfumo mbovu wa uwajibikaji. Watu wanalindana tu, hakuna kuwajibishana. Honestly Hata mimi namkubali JPM kwa utendaji, but nachukia sana mfumo wa CCM, napenda mabadiliko lkn bado ENL simwamini sana vile. Hebu wapambe wa pande zote watupe hoja zenye nguvu ili...
We need to be frank, I'm from Tz living in NBI for the last 3yrs now. You can't compare Nairobi and Dar on suburbs development. NBI is far ahead.
It all starts from the history. In Kenya, particularly Nairobi and its outskirts, few people owned/are owning big lands (acres and acres) which have...
I agree with you. Just to add on that, I believe that only Godly fearing Tanzanian will save this lovely country, otherwise we are doomed to fail. Mungu tusaidie..
Nimeoma point yako mkuu. Ni Watanzania ndio wanapata hasara wasipo ruhusu dual citizenship. Kwa hiyo ni naona kama tz wanakataa mzawa kuwa na urai pacha basi wazuie mgeni yeyote ambae kwao kuna uraia pacha asipate uraia tz which is not possible.
Kwa namna hii moto utawaka kwenye bunge la katiba. Tunahitaji kumwomba Mungu awape hekima hao wabunge. Awafungue macho waone kama Mungu anavyoona juu ya hii nchi. Help us God! Tunahitaji amani tupate Maendeleo ya kweli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.