CCM siipendi Lowassa simwamini

CCM siipendi Lowassa simwamini

Kama tungekuwa na mifumo mizuri ya uwajibikaji ya kuweza kumtoa mtu tusiyemtaka ingekuwa safi sana. Ila kusota miaka mitano hadi kumi ni mingi sana...wanasiasa wanatutenda vibaya sana."usimwamini mwanasiasa yeyote" by ZZK

Chagua yule ambaye angalau anaaminika.
 
Wadau nipo nina waza na kuwazua. Kura yangu nampa nani. Najua ni siri yangu ila mpaka sasa sijajua kura yangu ya uraisi inaenda wapi.

Ubunge na Udiwani sina shida ila hiyoo ya urais. Sababu kuu ni kwamba CCM siipendi lakini Lowassa mgombea UKAWA simwamini.

Wanaoweza kunishawishi karibuni maana nina watu ninaweza washawishi nikishawishika.

Wakati unaenda kujiandikisha kupiga kura ulienda ukiwa na dhamira maalum, dhamira hiyo hiyo itumie kuamua nani wa kumpigia kura. Itawale akili yako kufanya maamuzi ambayo unaamini ni sahihi baada ya kufanya uchambuzi wa kile unachofikiria kukifanyia maamuzi. Fanya hivyo ukimini kwamba iwapo outcome ya maamuzi yako ni sahihi utajipongeza kwamba uko matured, kama outcome ya maamuzi yako hayatakua sahihi hutakua na wakumsingizia kwamba fulani alikushawishi ufanye maamuzi ya hovyo.
 
Kwa kawaida misingi bora ina patikana kwenye muungano wa vyama vya UPINZANI. Kama propaganda ni uhai wa watanzania basi chagua chama chenye propaganda. Kama una hisi mabadiliko ni mwanzo wa maisha ya watanzania walio wengi bas elewa kuna haja ya kubadili misingi iliyo kuwa ya kiunyonyaji na kutengeneza fikra mpya.

Namchagua LOWASA kwa sababu ni FISADI ndiyo kwa tuhuma zake na mapungufu yake sawa, lakini mfumo anao kuja nao ni mfumo dhahiri katika kubadili fikra zetu kutuondoa katika karne hii ya umaskini uliokithiri.

Cmchagui Magufuli kwasababu yeye nae anahusishwa na tuhuma mbali mbali pia na anamapungufu pia ila mfumo anao kuja nao kiujumla ni una MAFISADI wengi na wengine ni viongozi wa juu kabisa...

SABABU:
Kura yangu ya URISI ni UKAWA
1. Ni watanzania wenzangu
2. Wanapenda na kuhubiri mabadiliko
3. Changamoto nyingi hususani katika muunganiko wao (Sio rahisi kuungana kwa vyama pinzani lacuna wamesimama kidete inge kuwa CCM wangeweza)
4. Wako kikazi zaidi na sio kimaslahi. (Kusimamisha mgombea mmoja)
5. Hawana UCHU wa madaraka kama ndugu zangu wa CCM katika ubunge tu ilikuwa shida.
6. Wanatumia akili kufikiri na kufanya utafiti wa kina. (CCM wao wana tumia uzoefu na ukongwe so hawanajipya)

7. Hawana uzoefu na uongozi lakini ni wasomi na wanaweza kutumia usomi wao kubadili fikra za walio wengi.
8. Huwaendeshwi kimatukio ni watu wail jipanga kweli kweli.
9. Wanafisadi mmoja tu na anaye tuhumiwa tu. (CCM cjui wako Mafisadi wangapi jibu mwenyewe ...............)
10. Ni maskini wenzetu ndo maana wameanzisha kampeni ya uchangiaji mitandaoni. (CCM wanaharibu kodi za wanainchi kununua wananchi kwa kiasi cha fedha ilikukwamisha juhudi za upinzani.)
11. Wana haki na wajibu wa kuongoza tanzania kwa kuwa TANZANIA sio mali ya CHAMA kimoja.
12. Tanzania ni ina Misingi ya KIDEMOKRASIA ko ni dhahiri kuwa na utawala wa vyama vingi.
13. Hata mtoto anapiga hatua ni kweli TANZANIA ina piga hatua kwa maana hiyo hatutaki undugu kwenye uongozi.
14. Tunahitaji MABADILIKO kwa maana hiyo CCM ndiyo mabadiliko ya kweli? eeeh? FUNGUKA
15.Nguvu na uwezo wa hoja na vitendo pia. Kuibua uovu wa chama tawala unahitaji wapinzani kulisemea hilo, so nadhani wana haki ya kupewa dola


CCM ni chama TAWALA, Lakini kwa WINGI wa MAFISADI na PROPAGANDA FEKI. ni DHAHIRI wanaonesha KIFO chao mwaka huu.
UKAWA muunganiko wao na wenye nia ya KUTAWALA na wana FISADI Mmoja na wenye MISINGI BORA na walioweka KAZI mbele MASLAHI nyuma. Ni KWELI MMENISHAWISHI vya kutosha mnaweza oongoza watanzania.

HAKUNA MTU KAMILI DUNIANI. HATA MAG...OFULI nae haaminiki maana HATA M.KEWE haelewani nae. So halo simwamini kabisa katika kuuongoza familia.
 
Kama tungekuwa na mifumo mizuri ya uwajibikaji ya kuweza kumtoa mtu tusiyemtaka iinawrzekanei sana. Ila kusota miaka mitano hadi kumi ni mingi sana...wanasiasa wanatutenda vibaya sana."usimwamini mwanasiasa yeyote" by ZZK

Baada ya kuiondoa ccm na kuingiza hivi vyama ndani ya ukawa uwezekano wa kujali maoni ya wananchi ni mkubwa tofauti na hawa mamwinyi ccm, katiba wananchi inawezekana. Amini hii, ingekuwa tofauti kama chadema ingeingia madarakani peke yake ingegeuka ccm nyingine. However I like your comment.
 
Kanuni ya mafanikio maishani ni kujaribu kitu tofauti, na sasa tunapaswa kuchagua ukawa /Lowasa kwa vile ccm tumeshaogozwa nayo kwa miaka mingi tayari. Baada ya miaka tuseme kumi hivi tutawaondoa ukawa/cdm. Cha msingi kusiwe na chama kudumu madarakani

Yah mjasiria mali lazima awe risk taker......unatest zari ikishindikana unatest kingine
 
Kama tungekuwa na mifumo mizuri ya uwajibikaji ya kuweza kumtoa mtu tusiyemtaka ingekuwa safi sana. Ila kusota miaka mitano hadi kumi ni mingi sana...wanasiasa wanatutenda vibaya sana."usimwamini mwanasiasa yeyote" by ZZK

Kweli bizplan shida tuliyonayo ni mfumo mbovu wa uwajibikaji. Watu wanalindana tu, hakuna kuwajibishana. Honestly Hata mimi namkubali JPM kwa utendaji, but nachukia sana mfumo wa CCM, napenda mabadiliko lkn bado ENL simwamini sana vile. Hebu wapambe wa pande zote watupe hoja zenye nguvu ili tufanye maamuzi ya busara tar 25 October.
 
wadau nipo nina waza na kuwazua. Kura yangu nampa nani. Najua ni siri yangu ila mpaka sasa sijajua kura yangu ya uraisi inaenda wapi.

Ubunge na udiwani sina shida ila hiyoo ya urais. Sababu kuu ni kwamba ccm siipendi lakini lowassa mgombea ukawa simwamini.

Wanaoweza kunishawishi karibuni maana nina watu ninaweza washawishi nikishawishika.

mweyewe mawazo yangu kama wewe nataka nijue kwanza lowassa ni hatari kiasi gani? Najua hataleta maendeleo kihivyo na ccm inatakiwa iondoke ili kuwe na cycle ya uongozi na demokrasia ikue, je lowassa atatutumbukiza shimoni au tutabaki tu kama sasa? Ila si atakua anabanwa na wabunge wa pande zote? Yaani wa ccm na ukawa, mi natupa kwa lowassa potelea mbali
 
Back
Top Bottom