Recent content by Fluconazole

  1. F

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa Kinyiramba

    Naomba kujifunza lugha ya Kinyiramba
  2. F

    JamiiForums Tanzania Msaada makadirio ya paving blocks

    Ahasna Kaka naomba unioneshe kwa picture tafadhali
  3. F

    JamiiForums Tanzania Gari RV 4 inauzwa

    Ok gari imetembea kilometa 131,500. Bei yake ni Tshs 13,000,000/=, maongezi yapo. Angalia picha hapo chini
  4. F

    JamiiForums Tanzania Gari RV 4 inauzwa

    Nauza gari RAV 4 ya mwaka 1998, mwenye uhitaji ani inbox
  5. F

    JamiiForums Tanzania Msaada makadirio ya paving blocks

    Wakuu naomba kwa mweye uelewa wa namna ya kufanya calculations ili kujua idadi ya paving blocks inayoweza kutumika kulingana na mita za mraba za eneo (area per square meter).
  6. F

    JamiiForums Tanzania Biashara ya simu za mikononi

    Wakuu naomba ushauri zaidi, nna Tsh 5,000,000/= nataka kufanya biashara za simu za mkononi za bei nafuu kuanzia Tsh 30,000/= hadi 60,000/=kwa kuzinunua Kariakoo na kuziuza mtaani. Aidha sanjari na hiyo ntaweka pia accessories zake. Je italipa? ufafanuzi tafadhali
Back
Top Bottom