chama kuwa na mbunge padre au sheikh cyo issue kwan even wao wanaruhusiwa kikatiba na wanauwezo wakufanya hivyo. issue ni kwamba wewe mchungaj au wewe sheikh unafanya nini kwa ajili ya kuleta umoja nakuunganisha watz kiasi kwamba kila mtu anufaike na rasilimali za nchi.
dini,elimu,teknolojia,uchumi vyote hivyo vimeingiliwa na wanasiasa...ya kaisarI mpeni kaisari na ya mungu mwachie mungu bwana.elimu dunia na elimu ahera kila elimu inanafasi yake, acha elimu dunia iongoze dunia
ninachofahamu ni kwamba wengi wa wanaume wanahitaji wanawake wanaoweza kuwahandle,ni vigumu kumhandle mwanamke wa sample kama hiyo that's y most of the men decide to marry portable wife(easy to handle,portable to carry).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.