Recent content by Flowereddy

  1. F

    Tutachati baadae MPENZI wangu, niko na hili kubwa jinga...

    duu! ila ndo ndoa za kisasa zinavyoendeshwa inauma lakin no way out, huwezi mtambua mtu ka kumwangalia tu. Unamsamehe madam alishajua uchafu wake umejulikana kama ana akili timamu atajirekebisha.
  2. F

    Posho...allowances..wadau nisaidieni ushauri/elimu katika hili

    mhhh! ngoja tusubiri wataalam watueleze ila nachojua mimi posho huwa hakuna makato ya aina yoyote ile.
  3. F

    Mwanamke, Kiumbe wa ajabu sana!

    nimeipendaje hii. ni point.
  4. F

    ...Jumatatu Natoa talaka kwa Mke wangu....Yamenishinda

    Mhh! unawashauri ambao hawajaingia kwenye ndoa wasiingie! unataka kutwambia baada ya kuachana na huyo bibie utaishi pekee milele! pole lakini mshirikishe Mungu anaweza kukusaidia katika hili pia.
  5. F

    Usibabaike na fremu za wanawake

    uwiiiiiiiii! kama mke hakatiki kwa nin na wewe usikatike mme! nimeipendaje hii.
  6. F

    Happy valentaine day all

    pole usijali ipo siku utafurahia.
  7. F

    Happy valentaine day all

    Duh!! pole sana best.
  8. F

    Happy valentaine day all

    I wish you all the best katika siku hii.
  9. F

    Ukabila ktk mapenzi

    He!!! kwani huyo mke wanaenda kuishi nao wao au wewe!! makabila mengine bwana! na kwa taarifa yako badilisha eti ka saabu ya ukabila uone utakavyojuta maisha yako yote.
  10. F

    Jamaa kalizua anaomba msaada

    kweli kumekucha!!!! bira shaka huyo mwalimu naye ndo wale hajamaliza hata mwaka kazini!
  11. F

    Unataka kumuacha mke mkorofi? Fanya hivi

    Na ni njia zipii za kuachana na mwanaume mkorofi! Maana si wanawake pekee wakorofi, na wanaume makauzu tena zaidi ya dagaa wapo.
  12. F

    Ukitaka kujua msichana wa chuo hakutaki tena haya ndiyo majibu yao

    Vipi na vidume vianachuo navyo vina stail gani!
  13. F

    Nimwacheje msaada pls..

    mijianaume mingine bwana!!! halafu mijitu kama wewe ndo badae huwa mnaaribu ndoa za wapenzi wenu wa zamani kwa sababu zisizo za msingi kama hizi!maana yakisha wakuta mnakuja na mimachozi mnamwaga beseni linajaa eti hamkujua! pumbavu zenu wanaume wote wenye tabia kama hizi! hivi unajua huyo mamaa...
Back
Top Bottom