Recent content by flank

  1. flank

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninaishi na maumivu

    Pole sana, Mungu akutangulie kwenye imani.
  2. flank

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

    Ha! Sasa wamezidi
  3. flank

    JamiiForums Tanzania Ukila mua Bar nini kinatokea ??

    Sasa mbona sababu umeelezwa alafu bado unatafuta majibu mengine? Au ndo hukutosheka?
  4. flank

    JamiiForums Tanzania Kama CCM ni chama cha watu wajinga, imetokeaje watutawale zaidi ya miaka 60?

    Dola, mahakama na inec ndo mbeleko yao tu, welevu wachache ndani ya ccm ndo wanajitahidi hizo mbeleko wasizikose maana wanajua wakizikosa tu hawana kitu tena.
  5. flank

    JamiiForums Tanzania Habari za Lissu zinatembea kama mabua yaliyochomwa moto

    Na iwe hivyo hadi kwa vizazi vyao vya saba
  6. flank

    JamiiForums Tanzania Habari za Lissu zinatembea kama mabua yaliyochomwa moto

    Hongera kwa kulitambua hilo na umuhimu wake.
  7. flank

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini ya Lissu: Jamhuri yakosa mashahidi!

    Patamu hapo
  8. flank

    JamiiForums Tanzania Lissu:Wamekoroga mashitaka hayaeleweki, haijulikani overt act ni ipi? Hakuna charge hapa.

    Lissu Mungu akimpa afya njema na uhai ninaamini ipo siku atakuwa namba Moja wa taifa. Anayofanyiwa hata ungekuwa niwewe na unasali kiasi gani lazima kuna muda Unaweza ukawaza kulipiza tu. Namuombea siku ifike awe namba moja, lakini asilipize bali asali "BABA YETU ULIYE MBINGUNI " na aitekeleze.
  9. flank

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wenye Viburi wanaenda kushushwa mpaka chini, chini kabisa. Hawatainuka tena

    Hiyo siku natamani iwahi kufika
  10. flank

    JamiiForums Tanzania Siku zina hesabika pande nne za dunia zitastaajabu tukio la ajabu taifa la ania

    Muda ukifika ndo utakumbuka ulichokisoma leo
  11. flank

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa Wakili Nassoro Katuga, sasa hivi anaishi kama digidigi

    Ukijibiwa nitag ili namimi nimfuate hukohuko
Back
Top Bottom