Recent content by Fkm2020

  1. F

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Chukua 120 kaka
  2. F

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Kaka chukua 350 boss
  3. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya networking na security system installation

    Kwa wale wenye Nia za kuifungua ofisi ambazo zinahitaji network au mifumo ya hospitalini au kufunga camera za usalama kwa majumbani na ofisini au sehem za biashara.... Naomba tuwasiliane nafanya kazi kwa uhakika kabisa. Sina meng ya kuandika ila mwenywe swali karibu na mwenye kazi karibu...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata kiwanja cha milioni 3 kwa Dar?

    Njoo nkuuzie malamba mawili kwa banana Zoro.... Nnacho 15 kwa 13
  5. F

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Wall Pannel - ukuta wa kisasa

    200k moja
  6. F

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Wall Pannel - ukuta wa kisasa

    Wale watumiaji wa kuta za kupachika yaani 'Wall pannels' za kisasa, ninazo za kutosha. Njoo Tabata Segerea nikuuzie. Simu: 0755726772
  7. F

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari ndogo Aina ya IST, Raumu, Spacio, Ractis, Funcargo na gari nyingne isiyozidi cc 1290

    Vyovyote vile ila nkipata mkataba itakuwa vizuri zaidi
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Dar bei ikojee? Na wapi hasa bei hiyo ipo
  9. F

    JamiiForums Tanzania Nataka kufanya biashara ya kukoboa mpunga na machine za kisasa kama za kichina

    Hiyo ya USD 8700 nzuri Sana na itakulipa. Kuna maeneo uhitaji ni mkubwa sana! Kuna sehemu inaitwa mlowo mbozi huko mkoa wa songwe pale mashine kubwa ya hivyo hamna zipo za vinu na chache alafu ukizingatia hapo ndio njia yanapita magari yanayotoka sehem inaitwa kamsamba ambako unatoka Mchele Safi...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Ukiwa tayari nicheki nikuunganishe na mtu yupo kariakoo duka la jumla atakupa viomboo kwa Bei Chee mpaka utashangaa
  11. F

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Nenda karume sokoni pale boma asubh saa kumi utapata mzigo wa kutosha
  12. F

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Twende tukanunue kamsamba mbozi huko mkoani songwe mpunga mzuri na soko lake lipo palepale la uhakika Sana! Ukiwa tayari nicheki
  13. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta Muwekezaji wa chainsaws mashine

    Wakuu nasoma comments lakin sio Mara zote unaweza hisi kila mtu anaweza kuwa mwizi japo unaweza kuwa sawa Sabu ya mazingira uliyowahi kukutana nayo Ila siwezi ongea Sana zaidi ya kuomba mwenye Nia ya kuniwezesha tukutane tuweke terms za kimkataba tufanye kazi
  14. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta Muwekezaji wa chainsaws mashine

    Nkipata hata moja sawa au mbili sawa pia
  15. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta Muwekezaji wa chainsaws mashine

    Hapana ni petrol yenyewe inatumia
Back
Top Bottom