Recent content by fkizenga

  1. F

    post compusory education......

    "Advanced" ndiyo maana mmefeli wengi hamjui hata muendako
  2. F

    Bungeni: Wabunge wapingana juu ya Hoja Binafsi ya Mhe. Mbatia, wengine wamfuata nje ya ukumbi!

    Wanaomfuata nje ya bunge ni wanafiki, hawafai, hawataki kuwajibika.:bounce:
  3. F

    Mtatizo haya ya udini nchini yanasababishwa na mambo haya tu!

    Mtoto akibebwa huangalia kisogo cha *****, tunaangalia visogo vya waliotuletea dini. Uislam umeletwa na waarabu na ukiristo umeletwa na wazungu. Tumepoteza kujitambua na kujipenda kwa asili zetu, watwana.
  4. F

    Mkenya kaniuliza swali!

    Ungemwambia waTz ni watu wasomi (analytical) na usidhani wanaijua kenya tu nchi kibao wanazijua. Aini usiamini wengi wako hivyo (pasive) kwani mimi nilienda Enuggu watu kibao hawaijui Tz!
  5. F

    Nahitaji msaada kama kuna mtu ana uzoefu na generator..

    Kaulize dukani mfano pale posta mpya duka la Car & General vitu vyao huwa ni madhubuti (genuine) si kama za India street na kariakoo ambazo ni disposable .
  6. F

    Mbeya na Kilimanjaro: Siri ya mafanikio yao ni nini?

    Ndizi zinawaunganisha
  7. F

    'Radio Call' ya Kamanda Barlow yakamatwa...

    Vile vimama vina4kaga kwenye runinga mbona kimya au wafadhili wamekata?
  8. F

    Pendekezo: Dr. Slaa awahutubie wananchi kwa njia ya TV...

    Wazo ni zuru sana, mipango ikikamilika itolewe account no. ya mitandao ya cmu au benki ili tuweze kuchangia kupitia account hizo. nipo tayari kufanya hivyo.
Back
Top Bottom