Bungeni: Wabunge wapingana juu ya Hoja Binafsi ya Mhe. Mbatia, wengine wamfuata nje ya ukumbi!

Ndugu wanabodi mimi naleta mada hii ili wote tuijadili kwambaMh Mbatiaambaepia ni mbunge wa NCCR MAGEUZI alileta hoja kwamba Nchi hii tangu uhuru haina MITAALA ya kufundishia,badala ya kumsikiliza wakazomea kwa kutumia wingi wao,wakaleta mtaala feki ili hoja ipite hivi lengo lao lilikuwa ni nini?
Wabunge wa ccm wamekuwawakipinga hoja zenye maana kwa kuwa hawataki waonekanekwamba hawajatoa hoja yenye maana,Sasa matokeo ya wananfunzi yamewaumbua kwa ushabiki wenu,hii inaonyesha kwamba hawa watu hawako kwa maslahi ya wananchi bali kwa maslahi yao wenyewe.Hebu kwa hili waone aibu napia aibu iwaone kwani wannangusha na kuidhoofisha elimu ya Tanzania kwa sababu watoto wao wanasoma shule English medium ambazo zinafanya vizuri na ada iko juu je mlalahoi atamudu? hebu wabungetuoneenihurumajamani
 
Kwa mtaji wa haya motekeo madudu ya form, Kawambwa apishe njia na hoja ya Mbatia ijadiliwe mara moja bungeni.
 
Back
Top Bottom