Recent content by fkawogo

  1. F

    JamiiForums Tanzania Annua increment pdf

    Mwenye jedwari linaloonyesha annua increment ya kila mwaka kwa kada ya ualimu tunaomba atupie hapa tuone kinachoongezeka maana ongezeko la mshahara hapo ni 50% 50%
  2. F

    JamiiForums Tanzania MIKOPO KWA WAKULIMA NMB

    Nimesoma tangazo leo mkuu
  3. F

    JamiiForums Tanzania MIKOPO KWA WAKULIMA NMB

    Pouwa
  4. F

    JamiiForums Tanzania MIKOPO KWA WAKULIMA NMB

    Asante mkiu
  5. F

    JamiiForums Tanzania MIKOPO KWA WAKULIMA NMB

    Wanajukwaa nimeskia kuwa kuanzia tar 15/10/2021 Nmb wataanza kutoa mikopo kwa wakulima wafugaji na wajasilia Mali Ninachotaka kujua je kwa mfano mkulima na mfugaji ni vigezo (masharti) gani anatakiwa kutimiza ili apewe mkopo huo. Msaada jamani
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi wa 60 KPH nitatumia saa ngapi kutoka Mwanza mpaka Mbeya?

    No gari ina tairi Safi ht hivyo napanga kuzitoa nitakapo Anza Safari niweke mpya
  7. F

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi wa 60 KPH nitatumia saa ngapi kutoka Mwanza mpaka Mbeya?

    Daaaa 80 naona km kubwa lkn itabidi nijaribu maana wanasema barabara iringa mbeya ni mkeka
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi wa 60 KPH nitatumia saa ngapi kutoka Mwanza mpaka Mbeya?

    Asante Sana mtalaamu nimekuelewa umepanga vizuri sana
  9. F

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi wa 60 KPH nitatumia saa ngapi kutoka Mwanza mpaka Mbeya?

    Naomba msaada kwa wenye maarifa ya kikokotoo hiki. Nina Safari ya kwenda Mbeya kwa usafiri wa gari langu. Ninachotaka kujua je kwa speed ya 60 nitatumia masaa mangapi kufika Mbeya? Maana kwakweli sio mpenzi wa kutembea na gari kwa speed kubwa. Kwa mwenye uelewa naomba msaada. Au kwa speed...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Naomba msada Kwa ugonjwa huu

    Nina shamba la migomba lkn ghafla nimeshangaa kuona mgomba mmoja uko tofauti Kwa ukuaji Na majani ya nimefatilia ktk mitandao nikaona Wana sema ugonjwa huo unaitwa (banana bunchy top disease) Sasa sijaelewa vizuri namna ya kuutibu naombeni msaada wenu wanajukwaa
  11. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki mwanaume

    Nitafute kwa namba 0764556760 km uko siliazi
  12. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanaume mtu mzima ambaye yupo serious anayetaka kuoa

    We unaishi mkoa gani kwa sasa. Ht Mimi Niko siliazi sana tena sana
  13. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanaume mtu mzima ambaye yupo serious anayetaka kuoa

    Nitafute kwa namba 0764556760 km uko siliazi
  14. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa za wasomi

    labda nikwambie kitu mitihani yote ya kitaaluma inafanana lkn mitihani ya maisha ktk ndoa au maisha haifanani na km haifanani huwezi kuangalizia kwa mwenzio. hivyo wew ingia tu kwakuwa mitihani utakaoupata kwa mke wako hautafanana na wakwangu utajua tu Namna ya kuutatua usiogope bro.
  15. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijawahi kuambiwa nakupenda na mwenza wangu

    jamani natamani Ku_reply kwa walionishauri lkn nashindwa simu yangu ni techno (report. like+ quote reply) nibonyeze wapi ili kumshukuru kila mmoja? naomba ushauri haraka jamani
Back
Top Bottom