Recent content by Fkatalaiya

  1. F

    Nakala ya katiba ya Tanzania

    Unawezakuipata kupitia tovuti : www.tanzania.go.tz/constitutionj.html lakini unatakiwa kuwa na acrobat. Ni vizuri kama watu wote wakiwa na muamko kama wako wa kuhitaji kuijua katiba ya nchini ambayo inatumika hadi hivi sasa. Kwani ni vigumu kuchangia endapo hatujajua vitu gani ambayo...
  2. F

    SMS hizi! Ungefanyaje?

    Da nimeipenda hii.
  3. F

    Funniest name for a human you've ever heard

    Nilipo kuwa nikisoma Mbezi high sch. Tulikuwa mwanadada anayeitwa manugwa magaka, she waz so sweet as her name.
  4. F

    Eid Mubarak wana chit chat woote!

    Nimelipata toto la kutoka nalo weekend hii, thanks 2 all guys who help me kulitongoza. Nashukuru kwa wote wanaofanya idadi ya holidays kuwa nying kwa sabb bila hao nadhani nisingepata ruhusa kazini wala mapumziko ya aina yoyote yale.
  5. F

    Utamu wa public car!!

    Ujue unapopata nafasi ya kuwa dereva wa magari ya serikali au ukawa bosi wa ofisi ya serikali ukiwa na uwezo wa kutoa amri ya matumizi ya vitu vya ofisini ikiwemo matumizi ya magari. Ni vizuri kutumia vitu endapo vitakuwepo na kwa kuwa magari ya serikali yanamafuta yakutosha kwa hiyo ni vizuri...
Back
Top Bottom