Nakala ya katiba ya Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nakala ya katiba ya Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Njaa, Aug 21, 2012.

 1. Njaa

  Njaa JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 970
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 60
  Dear members
  Nimepata mwamko wa hili suala la katiba mpya ya Tanzania...., ili kujiweka sawa natamani kusoma ile ya zamani kwanza ili niweze kupata idea ya mapungufu yake. Please mwenye digital copy (nakala ya digitali) initumie kwa kuni-PM. Hivi zipo pia za kiswahili? kama zipo zote please msaada

  Regards
  Njaa
   
 2. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  shibe...poor thread
   
 3. F

  Fkatalaiya Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unawezakuipata kupitia tovuti : www.tanzania.go.tz/constitutionj.html lakini unatakiwa kuwa na acrobat.
  Ni vizuri kama watu wote wakiwa na muamko kama wako wa kuhitaji kuijua katiba ya nchini ambayo inatumika hadi hivi sasa. Kwani ni vigumu kuchangia endapo hatujajua vitu gani ambayo vinatakiwa kuondolewa kwenye katiba iliyopo na nivipi viongezwe.
   
Loading...