Recent content by fjoshua1

  1. F

    Kutoka Dodoma: Sherehe za Kilele cha mbio za Mwenge, Rais Kikwete ahutubia

    Jamani binadamu wote ni sawa, kuwa kiongozi mkubwa hamanishi kuwa ubinadamu wako umeondolewa. Binadamu anazo weakness na strength zake. Hivyo siyo kila alichofanya baba wa taifa ni sahihi.
  2. F

    Regina Lowassa ni mwanamama wa mfano, mke bora

    Woga wa nini, Tujifunze kwa Hilary Clinton. Acha mfumo dume wewe, umepitwa na wakati
  3. F

    Tunachofanyishwa hakuna tofauti na utumwa

    Kila mtu ana uhuru wa kuonyesha hisia zake, isipokuwa asivunje sheria za nchi. Wengine wanaweza kupiga vigelegele/kuimba au kushangilia. zote hizi ni mbwembwe za kampeni. ciyo mara ya kwanza, ila ninavyoona namna walivyomsema lowasa na tabia yake ya uvumilivu, inawafanya watu wamwone ni mtu wa...
  4. F

    GE2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

    Tuondoe wakuu wa wilaya wrote.tuondoe mishahara ya wabunge kazi ya kujitolea
  5. F

    GE2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

    KUNA kulia na kusaga meno, Kiongozi huwa anaonekana kwa asili mfano, Nelson mandela/Ghandi/
  6. F

    China isingemchelewesha Lowassa

    Kama ni kweli haya yote ina maana tumekuwa hatuna serikali tangu miaka ya tisini, kama mtu anaweza kuwamilikisha watu mali ya umma inatisha, hizo ni propoganda tu. serikali hafanyi kazi namna hiyo
  7. F

    Magufuli utawezaje kujenga viwanda vya nyama kila mkoa?

    Bajeti 23 trilion, makusanyo 13 trilion, deni la taifa 40 trilion, atajenga viwanda nani?. Umeme tu umetushinda kuwawezesha watu wenye bishara ndogo ndogo sembuse viwanda? ambavyo hakuna plan
  8. F

    UPINZANI na CCM sote ni ndugu, tatizo ni Lowassa, Mbowe na vibara wao, TUWAKATE!

    MTANZANIA YOYOTE ANAYO HAKI YA KUCHAGULIWA/KUCHAGUA. HIVYO WANANCHI WATAAMUA NI NANI WANAMTAKA. KUNA KATABIA KA BAADHI YA WATU KUJIONA KUWA wAO WANA HAKI KULIKO WENGINE. LAZIMA HILI LIONDOKE
  9. F

    NEC: CHADEMA inatupa shida

    Ni Lazima wadau wote wajue jinsi mfumo unavyofanya kazi, na pia lazima kuhakisha kuwa hakuna data yoyote ya system kujiridhisha. Uwezi piga kura nakuacha kulinda kura zako
  10. F

    Magufuli apigilia msumari kwa mafisadi

    Jamani kuna utawala wa sheria, ciyo rahisi kama anavyodani, labda atuambie atanzisha mfumo wa kuanisha mapato ya kila mtanzania ili kuweza kuwa na uwezo wa kufuatilia mapato yasiyo halali, Siku hizi kuna sheria labda aanzishe ile opereshi ya kukamata malanguzi kama ya sokoine ya mwaka 1984? Je...
  11. F

    Juma Duni mgombea mwenza UKAWA yuko wapi?

    Nyie bakini na majungu ya kwenye mitandao wenzako wanasonga mbele
  12. F

    Raia wa Tanzania nchini Marekani watuma ujumbe

    Mbona wakenya walimchagua Kinyata?
  13. F

    GE2015 Kutoka Iringa: Kampeni CCM uwanja wa Samora

    Yeye ndio mmiliki wa ikulu siku hizi?
  14. F

    Maneno ya hekima toka kwa lowassa

    ni ni hekima iliyotukuka
Back
Top Bottom