big up mama, keep on going i adore u much
KATIKA kujiongezea vyanzo vya mapato, staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ameamua kujizatiti zaidi kwenye biashara ambapo sasa amefungua sehemu ya kuoshea magari maarufu kama Car Wash iliyopo Tabata, Dar es Salaam.Staa wa filamu za Kibongo, Wastara...