Ngumu kiasi kuelewa ila kitu cha msingi nilichotaka kuelewa ni namna wenzangu nyinyi mnavoweza tengeneza vipato vyenu kupitia simu zenu za mkononi..
Sababu scenario kwangu ni tofauti kidogo! N hilo swali limenijia kichwani punde baad ya kumaliza kufundisha "online tutoring" ..
Leo asee nimekaa pekeyangu wakati nimejawa na ukimya binafsi na baada ya shughuli ya kila siku nikapatwa na wazo "iv wenzangu kupitia simu zao huwa wanajitengenezea kipato kwa namna gani au wao ni kushinda online badae unafunga data huna ata mia".
Nikawaza upande wangu daah! Kwel ukitumia akil...
Me nakwenda na blue
Sababu
Ata nikirudi utoto na ujuzi niliokuwa nao ,mazingira bado hayata support kuutumia, maana ujuzi nilionao unategemea watu nilionao sasa!.
Hivyo napita na 1B kiuzuri kabisa na kufanya ukamilisho wa sehemu niliokwama kisha kusonga mbele mbele yake.
Kuna taarifa ambayo siielewi mimi kama mtu wa afya,kuhusu dawa inayoitwa paracetamol p500 ikihusishwa na kuwa na virus hatari. Na taarifa hii ni kama taarifa ya wakati wa nyuma ambayo ilkuwa inaambatana na picha ya paracetamol hizo ikihusishwa kuwa ni hatari..
Upi ni ukweli na uongo wa...
Hii video uki focus bila kupepesa macho unaona kama jembe halishikwi mkononi..na pia kma hakanyagi chini vizur..kingine sehemu ambayo anavuna mpungaa kwa mikono ni kama mikono inaingia Kweny layer ya ardhi ya kutengeneza n sio actually ground..na ata hashiki mpunga vizur
Nimeshangazwa na baadhi ya video ambayo inasambaa WhatsApp na group zingine ikionesha robot akiwa shambani analima kama mtu vile, saa nikajiulza hii ni edit au reality nakosa majibu.
Hivo nahitaji mniakikishie kwenye hilo maana kama ni kweli duuh watu watakosa kazi mbeleni for sure.
---...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.